Ujue kwa ufupi: Mkataba wa Songas na TANESCO unaotarajiwa kufika tamati Julai 2024

Chadema wanakuja kutukana,wakiwa na viakili kidogo leo watahoji kuhusu muungano
 
Umenikumbusha na yale magari zaidi ya Mia yaliyoagizwa kwa anwani ya ikulu.. JPM aliishia kuyagawa polisi.

Hawa watu wakiwa nje ya system wanakua na ngozi ya kondoo wakishaingia tu ndo unajua kumbee ni mbwa mwitu wakali
Yapo Magari Yalinunuliwa Serikali Ilitoa Pesa Kununua Mapya
Wao Wakanunua Used Na Kurudisha Nyuma Kilometres
Wabaya Sana
 
Stupid x 100000000000000000.
 
Ngoja Lucas Mwaashambwa aje na mkataba halisi.
 
Hivi huyu TUNDU LISU NI KATIBU MKUU WIZARA GANI VILE HAPA TANGANYIKA?
 
Mbowe ndio alisaini huo mkataba. Kila siku nawaambia Chadema sio wa kuwapa nchi.
 
Huyo bibi kwenye picha anahusikaje na mkataba
 
Baada ya miaka 30 tutakuja tena na uchambuzi kama huu kwenye bandari.
 
Na idd Simba alikuwa ni mburundi aliyehamia kigoma na kubadili Dini kuwa Muslim,na Hata SS sishangai VP kuwa mburundi
 
Kuna kiwanda cha kuchakata gesi, bomba la kusafirisha gesi na mitambo ya kufua umeme, bado bomba kwenda wazo cement.
Hivyo vingine mikataba yake umiliki utakuwaje baada ya July 2024?
 
Yaani hapo mama ni kukabidhi mtambo kwa tanesco hakuna cha zaidi wala kulipa kitu kwa hao fisadi waliyokula vya umma kwa miaka yote hiyo.


Ni wazi mkataba ulikua wa ovyo na kuna wageni na wenyeji waliyoibia taifa mabilioni kupitia songas.

Kwanza sio lazima mtambo ukahitajika kwa matumizi ukizingatia uzalishajiwa bwawa la nyerere. Hawa waliyokuwa wanafaidika na wekezaji za kinyonyaji kama songas na IPTL ndio waliyokua wanapiga vita uzalishaji mkubwa kwa gharama nafuu wa umeme wa hydro.

Angalizo:
Samia usije logwa ukaruhusu uwekezaji kama Songas kuongezwa mkataba. Hawa ndio watahujumu umeme kushushwa bei kwa kiwango kikubwa kutokana na unafuu wa uzalishaji.

Umma wa wananchi lazima kunufaika na uwekezaji wa umma. Umeme nafuu ndio utawezesha uwekezaji kwa wingi wa viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…