The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Tatizo sio CCM tatizo ni viongozi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6. Mkataba wa Songas ulipaswa uwe ni build, operate and transfer lakini uko build, own and operate.
Mkuu uhai is so broad, hata aliye ICU yuko hai. Nadhani yafaa tuseme "Bongo kikubwa pumzi tu"Bongo kikubwa uhai..🙏
Kings wewe!Nichukue Nafasi Hii Kuwa Karibisha Vijana Wa Chadomo Kwenye Mjadala Huu.
Iisu aliongoza serikali ipi?unafikiri kwa nini akina tundu lisu &co. wanamshambulia raisi samia sasa hivi ? timing is everything.
hapo ujue wameshaona dalili za samia kutokokuongeza mkataba na songas yao na siajabu kuwapa waarabu au irani, hakuna mtu corrupt na evil nchi hii kama tundu lisu…
Mkuu mtego huu wa Serikali nzima.Mtego Wa Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Nishati
Tuone Sasa Wanaongeza Mkataba Na Watutajie Kampuni Ya Nani Wakati Serikali Ilikopa Na Ikaulipa Mkopo Wote WB
Huna hekima.Jadili hoja.CHADEMA hawatoki Senegal. Mpuuzi wewe.Nichukue Nafasi Hii Kuwa Karibisha Vijana Wa Chadomo Kwenye Mjadala Huu.
Inawezekana hujamsikia Kafulila na umeme wa Jua na Upepo. Maandalizi ya kutukamua yanaendelea.Yaani hapo mama ni kukabidhi mtambo kwa tanesco hakuna cha zaidi wala kulipa kitu kwa hao fisadi waliyokula vya umma kwa miaka yote hiyo. Ni wazi mkataba ulikua wa ovyo na kuna wageni na wenyeji waliyoibia taifa mabilioni kupitia songas. Kwanza sio lazima mtambo ukahitajika kwa matumizi ukizingatia uzalishajiwa bwawa la nyerere. Hawa waliyokua wanafaidika na wekezaji za kinyonyaji kama songas na IPTL ndio waliyokua wanapiga vita uzalishaji mkubwa kwa gharama nafuu wa umeme wa wa hydro. Samia usije logwa ukaruhusu uwekezaji kama songas kuongezwa mkataba. Hawa ndio watahujumu umeme kushushwa bei kwa kiwango kikubwa kutokana na unafuu wa uzalishaji. Umma wa wananchi lazima kunufaika na uwekezaji wa umma. Umeme nafuu ndio utawezesha uwekezaji kwa wingi wa viwanda.
Sasa tueleze wewe unayojuwa.Who runs these Twitter accounts yaani unasoma vitu ambavyo avieleweki kabisa. Inaonekana ni watu wanaondika mambo wasiyo na uelewa nayo kabisa.
Ule mradi wa "Dege Village" Kigamboni uliwahi kuusikia? Unayo tofauti gani kubwa na huu wa Songas.Bado kuna maswala mengine ya ‘discharge clauses’ za mkataba ambazo labda zinawapa wabia option ya wao kuamua kwanza kuendelea na mkataba au la depending on the nature of investment contract.
Excuse your language.Sasa tueleze wewe unayojuwa.
We have no interest whatsoever with verbal diarrhea.
That's their version, give us your own.
Vitu viwili tofauti ‘Dege Village’ ni mradi wa pension fund kujaribu kukuza financial assets zao ili kulipa wanachama.Ule mradi wa "Dege Village" Kigamboni uliwahi kuusikia? Unayo tofauti gani kubwa na huu wa Songas.
It seems this is standard operating procedure in government.
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama Buguruni.
2. Songas ilianzishwa kwa mtaji wa Dola milioni 306, yaani 75% ( Serikali ya Tanzania kupitia mkopo) na 25% mtaji. Kwa maana serikali ya Tanzania ilichangia 75% ya mtaji ama Dola 234M kuanzia kampuni na Globeleq kampuni inayomilikiwa na Uingireza na Norway kuchangia 25% sawa na Dola 72M.
3. Serikali ya Tanzania ilichukua mkopo wa Dolar 234m ili kuchangia kuanzia kampuni ya Songas kutoka Benki ya Dunia (Dola183m) na Benki ya Umoja wa Ulaya (Dola 51m).
4. Serikali ya Tanzania inaimiliki hisa 40% ya kampuni ya songas pamoja na kwamba ndio ilichangia sehemu kubwa ya kuanzisha Songas. 75/25 lakini sasa inamiliki 40% tu.
5. Pamoja na serikali ya Tanzania kuchangia 75% ya kuanzishwa kwa Songas, bado mitambo inabaki kua mali ya Songas baada ya mkataba kuisha mwaka 2024.
6. Mkataba wa Songas ulipaswa uwe ni build, operate and transfer lakini uko build, own and operate.
7. Tanzania tayari imelipa mkopo wote wa dola 234 lakini Songas bado sio mali yake. Hii ni kama Pride Tanzania. Serikali ilitoa mtaji 100% kuanzisha Pride Tanzania lakini baadae ikaja kuonekana Pride Tanzania ni mali ya Iddi Simba😂.
8. Pamoja na kwamba serikali ya Tanzania ilichukua mkopo kutoka WB na EIB lakini riba ilikua kubwa kuliko hata mikopo ya kibiashara ama Commercial loans.
9. Mkataba wa Songas ulikua wa miaka 20 ambao unaisha muda wake July 2024.
Je serikali itaongeza mkataba wa Songas, je isipoongeza na imelipa mkopo wote na bado mitambo sio yake itakuaje?
Soma zaidi.
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1789333999564841115?s=19
Alikua fisadi,acha kuizunguka,haya yalifanyika kwenye mikataba ya madini na hata kuuzwa NBC2004 Marehem Mkapa watu walimchezesha shere Sana.
Mangungo hakujua kusoma na kuandika kijerumani,alidanganywa,mkapa alikua na mastersKina mangungo ni wengi ila anaesemwa ni mmoja
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama Buguruni.
2. Songas ilianzishwa kwa mtaji wa Dola milioni 306, yaani 75% ( Serikali ya Tanzania kupitia mkopo) na 25% mtaji. Kwa maana serikali ya Tanzania ilichangia 75% ya mtaji ama Dola 234M kuanzia kampuni na Globeleq kampuni inayomilikiwa na Uingireza na Norway kuchangia 25% sawa na Dola 72M.
3. Serikali ya Tanzania ilichukua mkopo wa Dolar 234m ili kuchangia kuanzia kampuni ya Songas kutoka Benki ya Dunia (Dola183m) na Benki ya Umoja wa Ulaya (Dola 51m).
4. Serikali ya Tanzania inaimiliki hisa 40% ya kampuni ya songas pamoja na kwamba ndio ilichangia sehemu kubwa ya kuanzisha Songas. 75/25 lakini sasa inamiliki 40% tu.
5. Pamoja na serikali ya Tanzania kuchangia 75% ya kuanzishwa kwa Songas, bado mitambo inabaki kua mali ya Songas baada ya mkataba kuisha mwaka 2024.
6. Mkataba wa Songas ulipaswa uwe ni build, operate and transfer lakini uko build, own and operate.
7. Tanzania tayari imelipa mkopo wote wa dola 234 lakini Songas bado sio mali yake. Hii ni kama Pride Tanzania. Serikali ilitoa mtaji 100% kuanzisha Pride Tanzania lakini baadae ikaja kuonekana Pride Tanzania ni mali ya Iddi Simba😂.
8. Pamoja na kwamba serikali ya Tanzania ilichukua mkopo kutoka WB na EIB lakini riba ilikua kubwa kuliko hata mikopo ya kibiashara ama Commercial loans.
9. Mkataba wa Songas ulikua wa miaka 20 ambao unaisha muda wake July 2024.
Je serikali itaongeza mkataba wa Songas, je isipoongeza na imelipa mkopo wote na bado mitambo sio yake itakuaje?
Soma zaidi.
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1789333999564841115?s=19
Aagh, kipindi wanaingia huko mkataba nilikuwa form2 , sasa hata sijui nilie au nifanyeje, mimi haya mambo msiwe mnaniambia bhana, mnaniumiza moyo bure tu, aghh..!Ona hili zwazwa mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu nishati lenyewe linaleta uchama. Kim huwa anayazabua risasi
FRANCIS DA DON