mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Tanzania sio maskini,Watanzania wachache kwa uroho wa fedha na ufisadi wametufanya maskini..Wanaelea kwenye lindi la ukwasi huku maiti zikizuiwa kwa ndugu kukosa fedha za kulipa gharama za matibabu..
Kuna watanzania wachache wanamiriki matirioni ya fedha ndani na nje ya nchi..
Watumishi kwenye vyombo vyetu tunavyovitegea kusafisha huu uozo na wizi wapo kimya..
Ya Songas,IPTL,GAS Pipeline,Pan Africa Energy…Nani anamiriki gesi ya Tanzania (Songosongo,Mtwara?)..Nani anamiriki bomba la gesi toka Mtwara mpaka Dar?Nani alifadhiri ujenzi wa bomba la gesi?..
Nani anamiriki Tanzania?