mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Kwa jinsi ambavyo hawako smart wataona njia bora ni kuachana na hiyo kampuni na kutafuta nyingine kuipa mkataba
Swali zuri. We don't need themIkiwa stigler/JNPP inazarisha umeme wa kutosha do we still need Songas?
It's a broad classification of govt. Pension funds are not a private business, at least for now in Tanzania.Vitu viwili tofauti ‘Dege Village’ ni mradi wa pension fund kujaribu kukuza financial assets zao ili kulipa wanachama.
Songas ni serikali kutumia natural resources zake kwa hela za watu wengine ili kukuza mapato yao, Iła kwa maelezo ya mkataba waliongia ni sawa na serikali kugawa rasilimali zake karibu na bure kwa wawekezaji.
I Reserve my comment.Excuse your language.
I had spent a lot of time on my post to express my views on the limitations of the argument presented.
If you went on the Twitter posts the critic begins by asking ‘misimamo wa Samia on equity’?
How stupid was that question asking someone to give an opinion on current government shares in a businesss venture and can’t tie that argument with their capital input on the venture asses control ownership of the business.
Couldn’t see the irony how does someone who contributed 75.% of the capital end end up with 40.7% equity, that was supposed to be the argument of having a bad contract, he did not present that viewpoint, you had to figure that out independently.
That was just appalling on my books how could someone with necessary info, present their social media account as educated prior and have limited knowledge on present an educational argument on the matter given all the facts.
Couldn’t even explain what was wrong with the current contract and if the nation was forceful obliged under the current terms to renew the dodgy current contract.
How annoying is that an account that is supposed to educate the mass has limited knowledge on the matters they raise.
Mangungo hakujua kusoma na kuandika kijerumani,alidanganywa,mkapa alikua na masters
Sentensi kama hii tunazisoma, lakini hatuzipi uzito wowote; lakini tatizo letu lipo hapa.Anahitajika mtu wa kuwabudili fikra watanzania it’s just appalling kila eneo ni below par kwa standards za dunia.
Mimi namkumbuka Chenge, kwenye serikali hiyo.Mkapa alikuwa na masters tena ya ivy league university
Mwanasheria mkuu wake alikuwa na masters ya Havard kabisa.
Ila bado akatuibia sana na sana
Mkapa ndie rais mlafi kuliko wote kuwai kutokea.
Asivyo na aibu eti akaomba msamaha kwenye kitabu chake.
Songas wako bullet proof, next contract ni miaka 10 tayari imepitishwa bado utekelezaji tu. Imepitishwa tangu mwaka jana.Je serikali itaongeza mkataba wa Songas, je isipoongeza na imelipa mkopo wote na bado mitambo sio yake itakuaje?
Nchi inatafunwa wewe uko bize na chademaNichukue Nafasi Hii Kuwa Karibisha Vijana Wa Chadomo Kwenye Mjadala Huu.
Tatizo sio CCM ila kuna mafisadi yamekivamia chama na yanaiba kwa kulitekekeza Taifa.Tatizo sio CCM tatizo ni viongozi wake.
Pension aina mmbia inamilikiwa 100% na serikali. Ili pension iweze kulipa michango inahitaji kukuza hizo financial resources ndio maana wanafanya investments za aina mbali-mbali.It's a broad classification of govt. Pension funds are not a private business, at least for now in Tanzania.
So thre's no difference btwn the two contracts.
Pension funds used land as an asset whose value was terribly discounted!
Huwezi kutenga hao wanufaika na chama tawala. Bahati mbaya kuna wadau (siku hizi wanatambulika kama machawa) wameingia kwenye mfumo wa kuwatetea wanyonjaji waendelee kuwanyonya wananchi. Wanachoambulia machawa ni hela ya kula na kulala.Yaani maskini wanatozwa kodi kulipia mikopo ya kuwanufaisha wengine.