Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

1721335736290.png
 
very true, hahah[emoji1] me ni mwanamke , na japo nimeajiriwa na nina mshahara mzuri sana tu, ila hua na bet sometimes, alinifundisha my young brother, ila sijaribu kucheza so called aviator, ni nig no cas nilijaribu mala moja nkasema niweke 50k tu nione, aisee don't even try this[emoji28], yani saa hii napenda live match zaidi, naangalia kabisa kwenye laptop or tv ndio naweka stake hata 200k but najua kabisa nashinda, but this aviator thing? hell no[emoji28]
Hata hiyo betting ukiitazama vizuri ni kupoteza pesa tu. 200k ukiweka odds hata 1.3 ni kurisk kuipoteza kwa kupata pesa ndogo mno. Yaani bora ukanunua gunia la maharage Arusha ukatumiwa na basi ukalitaftia mteja kwenye maduka angalau usipouza utayala.
 
Kuna siku nilikuwa na laki ya kulipia Kodi,nikasema nikilipa Kodi hapa.sibakiwi na kitu Sasa nifanyaje.nikajitoa muhanga nikaingia red door roulette.bwana wee.picha linaanza Elfu hamsini ikakatika.presha ikapanda.nikaamua kujaza stake yoteee.ikanasa funguo.akaenda kufungia goma likarudi laki 6.🀣🀣🀣
 
very true, hahah[emoji1] me ni mwanamke , na japo nimeajiriwa na nina mshahara mzuri sana tu, ila hua na bet sometimes, alinifundisha my young brother, ila sijaribu kucheza so called aviator, ni nig no cas nilijaribu mala moja nkasema niweke 50k tu nione, aisee don't even try this[emoji28], yani saa hii napenda live match zaidi, naangalia kabisa kwenye laptop or tv ndio naweka stake hata 200k but najua kabisa nashinda, but this aviator thing? hell no[emoji28]
Wewe ni mganga njaa tu, wenye mshahara mzuri sana hata huwa hawasemi!
 
Wewe utakua hujui kitu kuhusiana na aviator kwasababu hujawahi kucheza, uliyoongelea hapa mengi ni uongo.

Unaposema kila mchezaji anawekwa kwenye chumba chake mwenyewe hiyo ni uongo, na ndio maana kuna sehemu ya chatting wachezaji wanaweza kuwasiliana, ndani ya kampuni moja michezo yote inaenda sawa kwa user wote ndani ya hiyo kampuni.
Ukitaka kuhakikisha hili tafuta watu hata zaidi ya kumi mfungue aviator ya kampuni moja utaliiona hili.

Kwa hoja hii ni kwamba haiwezekani kamwe aviator kula pesa kwa kumsoma user mmoja mmoja, Ulaji wao wanafocus kupitia jumla ya wachezaji wote. Kwenye casino kuna kamsemo kanasema 'the house always win' kwamaana hiyo akiliwa sana, mchezo utabadilika ili afidie hasara, na pia akila sana mchezo utabadilika ili wachezaji wasikate tamaa wapate walau kidogo.

Kwaiyo kama mchezaji ni kucheza kistaarabu na sio kwa tamaa au kwa kutumia pesa za mambo muhimu.
Kwenye upande wa ghost user hapo nakubaliana na wewe.
Kwenye kila mchezaji kuwekwa kwenye chumba chake hata mimi nilitaka kumpinga ,maana niliwah kuona jamaa kama wanne hv kila mtu na simu yake,kiaviator kilikuwa kinasoma sawa sawa kwa simu zote

Ila kiujumla kindege hakifai
 
Kumjari vipi? Kwani pale umeshikiwa bunduki uucheze? Serikali yenyewe ina pata kodi yake, kuna tatizo gani?
Let's say wanapata billioni 5 ya kodi kwa mwaka huku hizo kampuni za kubahatisha zikiondoka na billioni 50 na kuzipeleka ng'ambo, nani hapo mjinga?
Nani anaibiwa hapo kama si serikali?
Serikali lazima ilinde shilingi yake na wananchi wake.
Hawa wachina wanaokuja kuzoa pesa kwa mikopo kichaa ya mitandaoni na madubwi huko kwao hawaruhusiwi kufanya huo upumbavu, ni kosa la kifo kabisa.
 
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo wametawaliwa na mawazo yenye wingi wa tamaa na wengi huamini kuwa ipo siku na wao watashinda kiasi kikubwa cha pesa.

JE, MCHEZO HUU WA AVIATOR UKO FAIR KWA PANDE ZOTE MBILI; MWENYE BETTING SITE NA MTUMIAJI?

Ukiingia kwenye mchezo wenyewe utaona maneno kuwa mchezo uko fair. Lakini katika ulimwengu halisi wa mchezo huu hakuna fairness hata kidogo.

SIRI ZILIZOPO KATIKA MCHEZO AMBAZO NDIO MWIBA KWA WATUMIAJI:
1. Kila mtumiaji huwekwa kwenye chumba chake mwenyewe (Each user is treated individually). Ukiingia kwenye aviator utaona namba kubwa sana ya users jambo ambalo humfanya mtumiaji kujiona yeye ni miongoni mwa jamii pana. Kama unafikiri kuwa watumiaji huwekwa pamoja kwa kila mzunguko basi unajidanganya. Account ya mtumiaji inasimamiwa kivyake na ndio maana mtumiaji akishusha stake amount (kiasi cha kubetia) flight results go higher and higher. Ila akiongeza stake basi flight results go down immediately. So hakuna njia ya kuvuna pesa kwenye aviator hata uwe expert wa aina gani.

2. Aviator inaongozwa na AI (artificial intelligence) yaani akili bandia katika kusimamia kila account ya mtumiaji. No matter how smart you are, you cannot defeat the AI.

Ushahidi wa hoja hii ni kitendo cha watumiaji wapya kuvuna pesa wakati wa mwanzo wa usajili wao. Katika muda huo AI huwa bado inatengeneza data kwa kuzingatia tabia za mtumiaji. Tabia kama vile mahusiano ya stake amount na cashing out. Baada ya kukamilisha kuandaa behavioural profile ya mtumiaji huanza kujichotea pesa kilaini kabisa. Kama umepanga kucash out kwenye 2.00 yenye inakatia kwenye 1.99. Utaliwa na mwisho ujinyonge ufe.

3. Automated cashing out service. Hii ni hatari sana kwa watumiaji. Mtumiaji anapoweka huduma ya automatic cash out anakuwa ameirahisishia system mara 10000 tofauti na kama asingeweka. Hata ungekuwa ndio wewe sasa unajua kabisa ikifika 2.00 fulani atachota 1,000,000 kutoka kwako, ungeruhusu itokee? Kwenye automatic cash out hata ukiweka kwenye 1.1 bado utaliwa tu.

4. Matumizi ya watumiaji mfu (ghost users). Sio kweli kuwa ile namba ya users inayoonekana kwenye aviator ni halisi. Na ndio maana hakuna majina halisi yanayotumika. Ulishawahi kujiuliza kwann huandikwi jina lako kama ulivyojisajili? Sababu wangefanya hivyo ingekuwa rahisi kujua siri nyingine kama ile ya kwanza hapo juu. Je, mbinu hii ina madhara yoyote kwa mtumiaji? Jibu ni ndio! Ghost users wanaweza kukushape kimtazamo na kukufanya upoteze pesa kwa kuwaiga. Ghost users wanaweza kuweka stake ya 1,000,000 na flight ikapaa mpaka 100 na bado asicash out. Wewe mtumiaji halisi ukithubutu hata kuweka 1000 chamoto utakipata. Kwann? Jibu kwasabu wewe umeweka pesa halisi na hiyo ndio inayotafutwa na system na sio pesa bandia ya ghost users.

5. Kukata network Yao pale wanapoona hatari ya kupoteza fedha. System inaweza kukata mfumo wa internet na kumfanya mtumiaji ashindwe kucash out. Mtumiaji anaweza kuhisi ni mtandao wa simu yake kumbe imetengenezwa makusudi kulinda pesa zao.

HITIMISHO:
Hakuna mwenye uwezo wa kutengeneza kipato kupitia aviator na online casino games nyingine. Kitumie kipato chako wisely kwa mustakabari wa maendeleo yako na Tanzania kwa ujumla.
Hii ni chai mkuu mimi ni player wa avitor huu ni mwaka wa pili na sijawai ona inaniingizia hasara kama ulivyosema hapo juu

Aviator ni mchezo wa wajinga umefocus kwa wajinga kwa maana wajinga ndio waliwao

Unastake 70k alafu unaanza kucheza bila malengo yoyote wala strategies isipokua ni kufocus kwenye odds kubwa kama x10 au x30 ili ashinde kiasi kikubwa ,hapa ndo inakuja ile kauli ya wajinga ndo waliwao


Aviator inahitaji mtaji wa kutosha na sio wakuunga unga.
Unabuku ya vitumbua then unataka ucheze aviator ili upate ela ya nyama hii ndo tunasema mwenye kidogo kinachukuliwa mwenye nacho anaongezewa

Aviator inahitaji kua na strategies ambayo iko na less risk ikiambatana na mtaji wa kutosha kwa ajiri ya kumantain constant capital na kumanage risk

Aviator inachezwa kwa target kama ilivyo sheria ya ela ambapo tunatafuta kwa target na sio kiholela holela

Mwisho kabisa ili tufanikiwe tunahitaji kua risk takers na katika harakati zote za utafutaji pesa risk lazima iwepo

Biashara ni risk ,unafungua duka leo kesho wezi wanaiba kila kitu
Umeamua kuweka security na bado duka linaungua moto

Unanunua bas leo linapinduka unakula hasara

Mwisho kabisa pesa haiitaji watu waoga.
 
Let's say wanapata billioni 5 ya kodi kwa mwaka huku hizo kampuni za kubahatisha zikiondoka na billioni 50 na kuzipeleka ng'ambo, nani hapo mjinga?
Nani anaibiwa hapo kama si serikali?
Serikali lazima ilinde shilingi yake na wananchi wake.
Hawa wachina wanaokuja kuzoa pesa kwa mikopo kichaa ya mitandaoni na madubwi huko kwao hawaruhusiwi kufanya huo upumbavu, ni kosa la kifo kabisa.
Ahaaa!! Ina maana hayo makampuni yote ya kigeni yaliyojazana hapa nchini, pesa zao zinabakia hapa nchini?!!! Mbona huja hoja
 
Na bp ameleta rain nakwambia huko hapakaliki kila mtu kanji leta rain kanji leta rainπŸ˜‚πŸ€£ balaaa
 
Back
Top Bottom