Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

Hata hiyo betting ukiitazama vizuri ni kupoteza pesa tu. 200k ukiweka odds hata 1.3 ni kurisk kuipoteza kwa kupata pesa ndogo mno. Yaani bora ukanunua gunia la maharage Arusha ukatumiwa na basi ukalitaftia mteja kwenye maduka angalau usipouza utayala.
 
Acheni vijana wangu wajifunze urubani
mimi na vijana damdam ispokua Injinia msomali
 
Kuna siku nilikuwa na laki ya kulipia Kodi,nikasema nikilipa Kodi hapa.sibakiwi na kitu Sasa nifanyaje.nikajitoa muhanga nikaingia red door roulette.bwana wee.picha linaanza Elfu hamsini ikakatika.presha ikapanda.nikaamua kujaza stake yoteee.ikanasa funguo.akaenda kufungia goma likarudi laki 6.🀣🀣🀣
 
Wewe ni mganga njaa tu, wenye mshahara mzuri sana hata huwa hawasemi!
 
Kwenye kila mchezaji kuwekwa kwenye chumba chake hata mimi nilitaka kumpinga ,maana niliwah kuona jamaa kama wanne hv kila mtu na simu yake,kiaviator kilikuwa kinasoma sawa sawa kwa simu zote

Ila kiujumla kindege hakifai
 
Kumjari vipi? Kwani pale umeshikiwa bunduki uucheze? Serikali yenyewe ina pata kodi yake, kuna tatizo gani?
Let's say wanapata billioni 5 ya kodi kwa mwaka huku hizo kampuni za kubahatisha zikiondoka na billioni 50 na kuzipeleka ng'ambo, nani hapo mjinga?
Nani anaibiwa hapo kama si serikali?
Serikali lazima ilinde shilingi yake na wananchi wake.
Hawa wachina wanaokuja kuzoa pesa kwa mikopo kichaa ya mitandaoni na madubwi huko kwao hawaruhusiwi kufanya huo upumbavu, ni kosa la kifo kabisa.
 
Hii ni chai mkuu mimi ni player wa avitor huu ni mwaka wa pili na sijawai ona inaniingizia hasara kama ulivyosema hapo juu

Aviator ni mchezo wa wajinga umefocus kwa wajinga kwa maana wajinga ndio waliwao

Unastake 70k alafu unaanza kucheza bila malengo yoyote wala strategies isipokua ni kufocus kwenye odds kubwa kama x10 au x30 ili ashinde kiasi kikubwa ,hapa ndo inakuja ile kauli ya wajinga ndo waliwao


Aviator inahitaji mtaji wa kutosha na sio wakuunga unga.
Unabuku ya vitumbua then unataka ucheze aviator ili upate ela ya nyama hii ndo tunasema mwenye kidogo kinachukuliwa mwenye nacho anaongezewa

Aviator inahitaji kua na strategies ambayo iko na less risk ikiambatana na mtaji wa kutosha kwa ajiri ya kumantain constant capital na kumanage risk

Aviator inachezwa kwa target kama ilivyo sheria ya ela ambapo tunatafuta kwa target na sio kiholela holela

Mwisho kabisa ili tufanikiwe tunahitaji kua risk takers na katika harakati zote za utafutaji pesa risk lazima iwepo

Biashara ni risk ,unafungua duka leo kesho wezi wanaiba kila kitu
Umeamua kuweka security na bado duka linaungua moto

Unanunua bas leo linapinduka unakula hasara

Mwisho kabisa pesa haiitaji watu waoga.
 
Ahaaa!! Ina maana hayo makampuni yote ya kigeni yaliyojazana hapa nchini, pesa zao zinabakia hapa nchini?!!! Mbona huja hoja
 
Na bp ameleta rain nakwambia huko hapakaliki kila mtu kanji leta rain kanji leta rainπŸ˜‚πŸ€£ balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…