Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

Nahis kuna watu wana trick/hacks za Aviator. Kuna jamaa betpawa anawekaga stake ya 250,000 kila akibet, anakulaga mara nyingi sanaa. Mara 7M, 7.2M, 14M kwa siku moja tuu

Kuna namna watu wanapiga hela wachache alaf wengi wanaliwa
 
Kuna kijana ofisini nimemwondoa sababu ya hicho kindege
Yaani yupo busy na simu kiasi anataka kuwehuka
Aisee. Anahitaji msaada wa kisaikolojia.
 
Kuna alogorithim ninayo nilikupa hutoliwa hata kidogo ,Kila kitu kwenye hii Dunia ni hisabati ndugu,tatizo unaakili za kuvukia barabara halafu unacheza kamari
Naomba uniambie
 
Nahis kuna watu wana trick/hacks za Aviator. Kuna jamaa betpawa anawekaga stake ya 250,000 kila akibet, anakulaga mara nyingi sanaa. Mara 7M, 7.2M, 14M kwa siku moja tuu

Kuna namna watu wanapiga hela wachache alaf wengi wanaliwa
Hao wanakuwepo ili kuvutia wengine. Bora ku bet mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…