Bila kuwasahau beyonce na jiggaMandela kampita Graca Machel zaidi ya miaka 17 na dunia nzima ina appreciate uhusiano wao. wapenzi ya"kweli"hayajalishi umri.
Yes,pesa utapewa!bt pia treatment,dah! Hadi unatamani angekuwa kijana....yaani kila utakachosema unasikilizwa!halafu coz he s proud kuwa na dogodogo hafanyi kosa kukupoteza so anaku treat km mtt
Safi sana subiri na binti wako afikapo darasa la saba ama form 1 jizee lianze kumgegeda natumahi utafurahia sana ....!
Unafahamu kuwa kamuacha nyumbani Mama yako?Unafahamu kuwa ana watoto wakike wa umri wako ambao wanastahili kutunzwa kwa hela unazoziomba kwa huyo mbaba?Shame
goldigger...........
Waambie mama siku izi wamegundua kuchungulia chanel wakiona mdada upo safi ndio wanakutaka hata kama huna mvuto wanaangalia salalio kina kaka acheni kubweteka mkisubiria kuwa marioo
hata Bishanga anafanya haya?
Hii thread usiione hivi, members wengi ma'legend wanasoma post zote hapa na kupita bila kucomment.
Si kwamba ni wajinga...hapana! Wana maana yao!
Na mimi mwenyewe ni lijendi hapa, kwahiyo sitaongea neno lingine hapa zaidi, lkn ntaendelea kusoma posts kama guest...Si kwamba mimi ni mjinga!...Laa!
Haya, endeleeni!
that's not my tittle my tittle is platinum digger.
Gold is sound cheap shopping and LUKU.
But platinum it include a lot and its sound professional
Kiukweli tukiachilia mbali pesa,they do care a lot compare 2 vijana,huo ndo ukweli!
its a life my dia
Live long papaaaz!!!!!!!!!!!
Long live Mtasha!!!!