Uchaguzi 2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

PLPL Yeye ana marupurupu mengi mno 'He is there to enjoy his life'
 
Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mkuu, anayo hoja. Ni vile tu una machungu "mingi" rohoni. Siafiki weye ubugie sumu kiboya kama mlivyolishwa chipsi kavu ikulu. No! Nenda naye "molimoli" ustaadh! 😂😂😂😂😂😂😂
 
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu

Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Hatutaki kiongozi wakutupora KOROSHO zetu hatutaki kiongozi asiyejali watumishi wa umma. Hatutaki kiongozi muuaji
HATUTAKI MANYAPARA HAPA.HATUTAKI KUTAWALIWA TUNATAKA KUONGOZWA
 
Aiseee hakuna aliyeamini hali ya kisiasa itakuwa hivi jinzi meko na ndugai walivyo deal na upinzani hasa chadema,huyu mtu Lisu ni hatari
 
Mdau binafsi kwa upande wa walioachishwa kazi kwa sakata la vyeti feki kutowalipa stahiki ni huruma tosha maana serikali ingeamua kuwashtaki kwa uhujumu uchumi na kujipatia kipato kwa udanganyifu. Maisha Lissu anaujua ukweli kuwa kukua kwa uchumin wa nchi haimaanishi kuwa na pesa kwa wananchi, ni kuwepo kwa miundombinu wezeshi katika utafutaji ila kwa kuwa nae anataka ikulu atasema kila awezalo aonekane mzuri lakini mwisho wa siku hata yeye akiingia ikulu hakuna atakachofanya zaidi ya tumbo lake na kwa asili ya watu wa ukanda wake ikulu itajaa ndugu tu.
 
Nimecheka eti kibushuti hahahhh
Nikilinganisha neno kibushuti na picha mbavu sina
 
Mwisho wa siku kura ni siri watufokee tu
 
Fanyakazi acha kulalamika tu unafikiri serikali itakuletea chakula nyumbani kwako?

Kwani kuna mtumishi ameomba kuletewa chakula? Kuna vitu viwili ambavyo ni haki ya mfanyakazi Annual increment,(ongezeko la mshahara kila mwaka) na kupanda daraja ambalo ni kila baada ya miaka mitatu au baada ya mfanyakazi kuongeza Elimu.... wafanyakazi wamepewa punguzo la kodi (PAYE) je hilo punguzo ndo limekidhi hayo matakwa ya kisheria?
 
Stupid minds? Kwani wakati wa Mkapa au Kikwete,watu walikuwa hawalimi, kufuga au kufanya biashara? My friend,think wider!
Don't arque with a fool people might not notice the difference!!
 
Kupanda daraja ni pale tu hujapewa adhabu ya kinidhamu kwa hiyo siyo automatically!
 
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu

Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Kati ya Lissu na magufuli nani mropokaji? Jiwe anafyatuka tu tena bila hata ya kumbukumbu, siku nyingine muwe mnawapima akili kwanza wagombea wenu.
 
Msamehe bure tu huyo Mkuu, anapigania elfu saba saba zake ambazo ziko kwenye hati hati ya KUTOKOMEZWA na Lissu.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…