Mgonjwa anapiga kampeni wewe mzima unakesha humu ili ulipwe buku 7 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Kwa nini midomo, masikio, macho vinaelekezwa kwa Lissu na Magu, kwa nini kuna tention kuhusu hawa watu na si wengine?Wewe utakuwa unafikiri kwa kutumia makalio.
....Mbona ccm na akina polepole wako bize wanaangaika kujibu hoja za waloishakufa??
Nimeshudia wamama wakihimizwa mikopo. leo jimbo la Kawe walimwagika kwa ahadi za mikopo kwenye vikoba. Ni kama imetangazwa ajiraWatu wamekwama huku wakiwa wanafanya kazi, biashara nyingi zinafungwa huku watu wakiwa hawajui kesho yao. Nyie mnaofaidi mezani kwa bwana ndio mnapiga kelele. Ukitaka kujua hii lugha yako ya kipuuzi ni kejeli kwa watu, omba siku kabla ya kura uende TRA ukaone trend ya kufunga biashara, kisha uje uhimize watu kufanya kazi. We baki ukitazama TBC na hizo nyomi zinazokuja kupunguza stress kwa kutazama wasanii, udhani watu wako kwenye furaha.
Woga na unafikimtu anayeiamini CCM
namuona kama hohehahe tu...hasa watumishi wa umma ndio hovyo kabisa.