Ndugu zangu naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu!
Mimi nasumbuliwa sana na mba mwili mzima na isitoshe huwa nikitoka kuoga ninawashwa mwili mzima na inachukua kama dakika 30 ndo inapungua kuwashwa na hili tatizo lina muda mrefu kama zaidi ya miaka 5.Ninaomba msaada wenu kama kuna yeyote humu ndani aliyewahi kupata hili tatizo na akapata ufumbuzi wake au anaye jua ni dawa gani zinatibu hili tatizo anisaidie! Wanasilisha kwenu wana JF!

Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, wapi kwa Dar anapatikana Daktari ambaye ni specialist wa magonjwa ya ngozi.
Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi sana ambao wamekuwa wanatupigia simu wakitaka kujua ni wapi watapata mtaalam wa magonjwa ya ngozi na hili la MBA likiwa mojawapo.
Shukrani
========
jaman mwenye dawa ya mba wa kichwan na mafuta ya kutumia maana dah kwangu imeshakua kero sa hvi
Ahsante sana mkuu...nitaleta feedback....
Kwa faida ya tulio wengi humu hebu fafanua basi mkuu ulizitumiaje hizo mbegu za papai mpaka zikakusaidia!!?Haya Matatizo Yanatukumba Wengi Lkn Namshukuru Mungu Kupitia Mbegu Za Papai Zimenisaidia