IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Heshima mbele wakuu,
Tafadhali nimepatwa na huu ugonjwa mgongoni kwa mabegani hivi na ndo unaanza
Hauwashi ila nikitokwa jasho unakuwa kama unanichoma hivi.
- Nini chanzo chake?
- Nawezaje kupona? Nitumie dawa gani?
Watu8 MziziMkavu tafadhali katika hili
Chukua maganda ya ndizi mbichi yakaushe then takishskauka chukua na yachome,baada ya kuyachoma yaloweke kwenye maji chuja vema then yachemshe na yabaki maji kidogo.then ipua na hapo tayari kwa matumizi.tumia kujipaka asbh,mchana na jioni.nakuhakikishia wiki moja mba zote kwishaa kabisa.kama hujaelewa uliza ndg nikusaidie.Nimekua nikihangaika sana wakuu kwa kutafuta ni dawa gani itanisaidia lakini nimefikia kuambulia matokeo mabovu..nimeshatumia vidonge mwezi mzima lkn ni kma nachochea..unaanzia kichwani mpaka usoni kote mpaka kifuani na mgongoni.. msaada wenu tafadhali wataalamu Wa ngozi.
jaribu mafuta ya brake au dawa fulan ya kupaka inaitwa gentalene CNimekua nikihangaika sana wakuu kwa kutafuta ni dawa gani itanisaidia lakini nimefikia kuambulia matokeo mabovu..nimeshatumia vidonge mwezi mzima lkn ni kma nachochea..unaanzia kichwani mpaka usoni kote mpaka kifuani na mgongoni.. msaada wenu tafadhali wataalamu Wa ngozi.
Nimekuelewa mkuu Santee sanaChukua maganda ya ndizi mbichi yakaushe then takishskauka chukua na yachome,baada ya kuyachoma yaloweke kwenye maji chuja vema then yachemshe na yabaki maji kidogo.then ipua na hapo tayari kwa matumizi.tumia kujipaka asbh,mchana na jioni.nakuhakikishia wiki moja mba zote kwishaa kabisa.kama hujaelewa uliza ndg nikusaidie.
Nimeshatumia mkuu lkn ilikua kma inatoka badae inarudi tena..jaribu mafuta ya brake au dawa fulan ya kupaka inaitwa gentalene C
Duh pole....nenda kwa daktari umsikilize kama hujaenda!Nimeshatumia mkuu lkn ilikua kma inatoka badae inarudi tena..
Je kuna Tiba ya ziada mkuu?Chukua maganda ya ndizi mbichi yakaushe then takishskauka chukua na yachome,baada ya kuyachoma yaloweke kwenye maji chuja vema then yachemshe na yabaki maji kidogo.then ipua na hapo tayari kwa matumizi.tumia kujipaka asbh,mchana na jioni.nakuhakikishia wiki moja mba zote kwishaa kabisa.kama hujaelewa uliza ndg nikusaidie.
Hii dawa ya maganda ya ndizi na mafuta ya breki ni mujarabu.Je kuna Tiba ya ziada mkuu?