kipwate
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 517
- 509
Unachukua mafuta ya break kisha una weka kweny kitambaaa au pamba kisha una pakaaa yako kawd sana ayo mafuta ya break mkuuu ama ujawah kuyaona....???? Tiba nzur una pona kwa haraka sanaSijaelewa yaani mafuta ya break yanawekwa kwenye mwili wa binadamu?? AU unatania