Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Sijaelewa yaani mafuta ya break yanawekwa kwenye mwili wa binadamu?? AU unatania
Unachukua mafuta ya break kisha una weka kweny kitambaaa au pamba kisha una pakaaa yako kawd sana ayo mafuta ya break mkuuu ama ujawah kuyaona....???? Tiba nzur una pona kwa haraka sana
 
Unachukua mafuta ya break kisha una weka kweny kitambaaa au pamba kisha una pakaaa yako kawd sana ayo mafuta ya break mkuuu ama ujawah kuyaona....???? Tiba nzur una pona kwa haraka sana
ngja nifanye hivo
 
Mafuta ya brakes mwisho wa matatizo.yakishindwa labda uzaliwe tena.
Week moja tu kwishaaaaa
Hii ndio tiba ya uhakika asilimia billion
 
Kuna mafuta flani kama cream hivi(rangi nyekundu) yanatengenezwa Mbeya kwa matunda,siijui jina. Ni nzuri sana kwa tatizo hilo. Mdogo wangu alitumia kama utani,tatizo likaisha. Mara nyingi inatangazwa kwenye mabasi. Watu wa Mbeya watusaidie jina.
 
[emoji26][emoji26]watusaidie kwakweli
 
Jaribu hizo...ikushindikana tell me nikupe recipe utengeneze dawa kiboko ya fungus.......

Disclaimer: I'm not a pharmacist ,mi niliona pharmacist akitengeneza nikajifunza...But anasema yaani ni kiboko...
 
Jipake DOT 3.
Nenda kwenye maduka ya spea za magari kisha ulizia hii kitu.

Dawa nyingine kuna majani fulani hivi ambayo unayatwanga kisha unachanganya na mafuta ya taa. Baada ya hapo unajipaka kwenye sehemu zote zilizo shambuliwa na likoto.
Jina na aina ya majani haya ngoja nikutafutie maana nilijifunza hii kwa msure.
 
Back
Top Bottom