Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

mie nalala sasa hivi
Sawa Madame, asante kwa kampani yako... Betri yangu imekwisha c unajua tena siye watumizi wa tecno tulivyo [emoji23][emoji23][emoji23].

Insha'Allah tukijaaliwa kesho pia ni siku... Uwe na usiku mwema.
 
Sawa Madame, asante kwa kampani yako... Betri yangu imekwisha c unajua tena siye watumizi wa tecno tulivyo [emoji23][emoji23][emoji23].

Insha'Allah tukijaaliwa kesho pia ni siku... Uwe na usiku mwema.
hahahaa hope umeamka salama
 
Mchafuko wa damu wewe,mimi lile joto la dar lili ni attack nilirudi mkoani nimenenepa kwa kujikuna mafundo kila sehemu kwenye basi wananishangaa...

Wakati nikiwa dar nilichomwa sindano lakini wapi...

Nilivumilia hadi kwetu basi nikaenda pharmacy wakinipa dawa ya kuzuia muwasho na kuondoa mauvimbe fasta nikapona.

Vidonge vilikuwa vya kumeza.
Dawa gani ulipewa
 
Jina nimesahau ila niliwaambia nataka dawa ya kusafisha mchafuko wa damu na kuondoa uvimbe wa kujikuna.Zote za kumeza sio Jelly.
nashukuru sana ngoja tusubiri mishahara niende kwenye hospital na phamamcy kwa ushauri na kupata tiba kabisa
 
Ni salama tu ndugu yangu.. Tulikuwa tunalia jua linawaka sana, sasa mvua inanyesha kazi zimedolola kijiweni kwangu... ..
sisi juzi ilipiga moja na radi zike mweko na maguruguru niliogopa sana

Usijal ipo siku kutakaa sawa s unajua siku hazifanani
 
Back
Top Bottom