Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Dawa za kupaka utakuwa unatibu kwa muda tu .....
Tafuta vidonde vya mba utibu kabisa huo ugonjwa.
 
Mtafute huyo Mzee akupe Dawa ya kupaka ya kienyeji 0656007439
 
Jamani msaada kwa anayejua dawa nzuri ya mba,,Iwe ya kienyeji au vyovyote,,naombeni ushauri...

nenda hospitali uandikiwe vidonge...mi mwenyewe ulinisumbua kwa miaka mingi sana huo gonjwa, dawa za kupaka ni kupoteza muda!!
 
Jamani msaada kwa anayejua dawa nzuri ya mba,,Iwe ya kienyeji au vyovyote,,naombeni ushauri...

DAWA YA MBA:

Mafuta ya Habbat Souda na Mafuta ya Nazi. Kinachotakiwa Kufanya ni kuwa Wakati ukienda

Kuoga Kichwani Yakupasa Uoshe nywele kwa maji Ya uvuguvugu kisha Ukifute kichwa Uzuri

sana kiasi Kisibakiwe na Maji maji mengi, Ila nywele ziwe zimelainika tu!..

Kisha Unachukua Mafuta ya Nazi (coconut oil) then unaichanganya na Mafuta ya Habbat souda

kisha unajipaka kichwani mafuta ya kutosha . Asubuhi na usiku kwa muda wa siku 7 au siku 14

utapona inshallah.



 

Attachments

  • 264px-Nigella_sativa_oil.jpg
    264px-Nigella_sativa_oil.jpg
    21.9 KB · Views: 217
Habari jf doctors...Naomba kujua tiba ya mba sugu.kuna mtu ana matatizo ya mba mgongoni na kifuani kwa muda mrefu sana na ametumia Amol-g bila mafanikio yoyote.
 
Habari jf doctors...Naomba kujua tiba ya mba sugu.kuna mtu ana matatizo ya mba mgongoni na kifuani kwa muda mrefu sana na ametumia Amol-g bila mafanikio yoyote.
Tumia maji ya limao kujipaka na kunywa kutwa mara 3
 
Ok...kuna jamaa alipost dawa ya mba na fungus...ukijaribu kui tress utaipata kwenye previous posts...kama sikjakosea alisema..chukua maji ya uvugu vugu kidogo mchanganyiko uwe concetrated (isiwe over diluted)alafu uchanye na kijiko kimoja cha kitunguu saumu kilichosagwa anywe...sikumbuki mara ngapi,sema navyojua kitunguu saumu hakina madhara so anaeza kunywa once daily for a week,alisema ina immediate results,pia inatibu minyooo,hiyo najua koz ndo dawa yangu ya minyoo,gud luck!
 
Ok...kuna jamaa alipost dawa
ya mba na fungus...ukijaribu kui tress utaipata kwenye previous
posts...kama sikjakosea alisema..chukua maji ya uvugu vugu kidogo
mchanganyiko uwe concetrated (isiwe over diluted)alafu uchanye na kijiko
kimoja cha kitunguu saumu kilichosagwa anywe...sikumbuki mara
ngapi,sema navyojua kitunguu saumu hakina madhara so anaeza kunywa once
daily for a week,alisema ina immediate results,pia inatibu minyooo,hiyo
najua koz ndo dawa yangu ya minyoo,gud luck!

ahsante sana.
 
Chukua malimao kata katikati kisha chukua chumvi chovea kile kipande cha limao katika chumvi halafu sugua hicho kipande katika maeneo yaliyo athirika. Kutwa mara mbili kwa siku tatu mfululizo. Angalizo, tiba hii ina maumivu ila sio ya muda mrefu.
 
Chukua malimao kata katikati kisha chukua chumvi chovea kile kipande cha limao katika chumvi halafu sugua hicho kipande katika maeneo yaliyo athirika. Kutwa mara mbili kwa siku tatu mfululizo. Angalizo, tiba hii ina maumivu ila sio ya muda mrefu.

Mkuu hii unaweza kutumia hata kwa mba za kuchwani??
 
Chukua malimao kata katikati
kisha chukua chumvi chovea kile kipande cha limao katika chumvi halafu
sugua hicho kipande katika maeneo yaliyo athirika. Kutwa mara mbili kwa
siku tatu mfululizo. Angalizo, tiba hii ina maumivu ila sio ya muda
mrefu.

Ahsante sana mkuu...nitaleta feedback....
 
Back
Top Bottom