ISACOM
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 546
- 413
Endobalm.....inapatikana maduka ya dawa
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endobalm.....inapatikana maduka ya dawa
Jamani msaada kwa anayejua dawa nzuri ya mba,,Iwe ya kienyeji au vyovyote,,naombeni ushauri...
Jamani msaada kwa anayejua dawa nzuri ya mba,,Iwe ya kienyeji au vyovyote,,naombeni ushauri...
Tumia maji ya limao kujipaka na kunywa kutwa mara 3Habari jf doctors...Naomba kujua tiba ya mba sugu.kuna mtu ana matatizo ya mba mgongoni na kifuani kwa muda mrefu sana na ametumia Amol-g bila mafanikio yoyote.
Tumia ketokonazol cream...Paka mara 1 au 2 kwa wiki nne.
Tumia maji ya limao kujipaka na kunywa kutwa mara 3
Ok...kuna jamaa alipost dawa
ya mba na fungus...ukijaribu kui tress utaipata kwenye previous
posts...kama sikjakosea alisema..chukua maji ya uvugu vugu kidogo
mchanganyiko uwe concetrated (isiwe over diluted)alafu uchanye na kijiko
kimoja cha kitunguu saumu kilichosagwa anywe...sikumbuki mara
ngapi,sema navyojua kitunguu saumu hakina madhara so anaeza kunywa once
daily for a week,alisema ina immediate results,pia inatibu minyooo,hiyo
najua koz ndo dawa yangu ya minyoo,gud luck!
kwa muda gani?
Nunua malimao ya kutosha kisha ni-pm nikuelekeze cha kufanya
Chukua malimao kata katikati kisha chukua chumvi chovea kile kipande cha limao katika chumvi halafu sugua hicho kipande katika maeneo yaliyo athirika. Kutwa mara mbili kwa siku tatu mfululizo. Angalizo, tiba hii ina maumivu ila sio ya muda mrefu.
Mkuu hii unaweza kutumia hata kwa mba za kuchwani??
Mkuu hii unaweza kutumia hata kwa mba za kuchwani??
Chukua malimao kata katikati
kisha chukua chumvi chovea kile kipande cha limao katika chumvi halafu
sugua hicho kipande katika maeneo yaliyo athirika. Kutwa mara mbili kwa
siku tatu mfululizo. Angalizo, tiba hii ina maumivu ila sio ya muda
mrefu.
Ahsante sana mkuu...nitaleta feedback....