Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Mkuu. Hoja yangu haijajikita huko unakotaka kunipeleka.

Hoja yangu kuu ni hii: Kama mwislamu anaweza kusema kuwa hakuna atakayekwenda mbinguni bila kuwa mwislamu; na akatoa na ushahidi kutoka katika kitabu chake anachokiamini (ambacho wengine wasio waislamu wanaweza wasikiamini); ni nini kinachompinga Mkristo (au dini nyingine yo yote) kusema kwamba bila kupitia dini yake hakuna kwenda mbinguni; na akatoa na ushahidi kutoka katika vitabu vyake vya dini anavyoviamini?

Kwa maneno mengine; ni kwa nini unaamini kuwa Uislamu ndiyo njia sahihi ya kwenda Akhera? Ni kwa vile Quran (ambayo wengine wasio waislamu hawaiamini) imesema hivyo ama?

Kwa nini Mkristo asiamini kuwa bila Yesu hakuna kwenda mbinguni; wakati Biblia anayoiamini inasema hivyo?

Umenielewa?
 
Iq ndogo hawawezi kukuelewa...
 
Mimi kama mwekahazina wa "iam proud to be Muslim".,
Natia kambi hapa japo nimechelewa lengo ni kusoma comments tu.
 
0
allah akulipe inshaallah , dini unaijua vizuri ! binafsi nakupongeza kwa kufikisha ukweli kwa uwazi sema nafsi potofu hazitakuelwa maana mwemyezi mungu amasema katika Qur'an amegonga mihuri kwenye nyoyo za baadhi ya makufari, hata ukiwafikishia muongozo vipi bado watanga'ng'ania kumkufuru ALLAH s.w
 
dini ya kikiristo haitambuliwi na mungu maana ata yesu mwenyewe sio mkiristo,

na hakuna mjumbe yeyote wa mungu aliwahi kuwa mkiristo
 
uislam unajitetea wenyewe kwenye kitabu cha Qur'an, lakin ukiristo ata mwenye bible kwenyewe haupo
 

Attachments

  • IMG_9698.png
    72.1 KB · Views: 2
  • IMG_9699.png
    57.9 KB · Views: 2
  • IMG_9701.jpeg
    35.5 KB · Views: 2
  • IMG_9700.png
    58.6 KB · Views: 2
wakiristo wote wanapaswa kuelewa
vitabu cha mungu
1. torati-musa
2.zaburi-daudi
3.injili-yesu
4.Quran.-Muhammad
je, bible ni mtume gani kaja nayooooo???
yesu mwenyewe alifanya ibada za kusujudi -ibada za mitume wote zilikuwa hivo,
waislam pia wanafanya hivo hivo
je , ibada za kupiga makofi, kunengua, wanawake kwenda uchi, ibada za kupiga makelele, wenzetu wamezitoa kwa mtume nani?????
vifungu vingi yesu amesema" mjue kwanza mungu wa pekee ndipo unijue mimi yesu aliyenitum, soma yohana 17 verses,
je, ni kifungu gani yesu alisema yeye ndio aaabudiwe ???

wakati yesu yuko msalabani, alisema eloi eloi thama thabathan, lafudhi ya mashariki ya kati maana yake allah allah mbona umeniacha????
kwa akili tu ya kawaida utagundua kuwa yesu alikuwa anafanya ibada kwa mungu mwenyewe, ambaye huyo ndo kuabudiwa na muislim,

musa akavua viatu mahali patakatifu, waislam wanavua viatu mahali patakatifu, wakristo wamekwepa kifungu wanavua zambi sijui wanavuaje
 
 

Attachments

  • IMG_9703.png
    65.2 KB · Views: 2
  • IMG_9704.jpeg
    35.4 KB · Views: 2
  • IMG_9658.jpeg
    31.5 KB · Views: 2
  • IMG_9707.jpeg
    34.4 KB · Views: 2
  • IMG_4505.jpeg
    28.6 KB · Views: 2
Kila nafsi itaonja umauti si kweli
Wapo mitime ambao hawakufa lkn pia siku ya kiama nafsi nyingi tu mabilion zitakutwa dunian zikiwa hai
kwa mjibu wa Qur'an, siku ya kiama itapulizwa balagumu viumbe vyote vitakufaa, na baada ya hapo Allah atauliza kuna yeyote amebaki, kimya kitatawala kumaanisha hakuna kiumbe kimebaki
 
dini ya kikiristo haitambuliwi na mungu maana ata yesu mwenyewe sio mkiristo,

na hakuna mjumbe yeyote wa mungu aliwahi kuwa mkiristo

1. Kwanza ni Mungu na siyo mungu

2. Wewe umejuaje kuwa dini ya Kikristo haitambuliwi na Mungu? Mungu mwenyewe Amekwambia hivyo au umesoma kwenye Quran ( ambayo wengine hawaiamini)? Vipi kuhusu dini nyingine (Hinduism, Shintoism, Taoism....); zinatambuliwa na Mungu au ni Uislamu pekee?

3. Hakuna mjumbe ye yote wa Mungu aliyewahi kuwa Mkristo? Unaelewa chimbuko na maana ya jina Kristo/Mkristo?

4. Yesu hakuwa Mkristo...sawa na vile Muhammad hakuwa mwislamu ama? Kwa maana wote ni waanzilishi wa matapo yao ya fikra?
 
Wewe jamaa unaakili timamu kweli unalazimisha Kila mtu aamini huo ujinga wako fanya Yako mzee duniani hapa
 
🤣🤣🤣 Alimwita Nani??Yesu Akiwa Msalabani??Allah🤣🤣🤣Allah ni Mungu alieletwa Duniani na Muhamad. Miaka 650+ Baada ya Bwana Na Mokozi Wetu YESU Kristu kufa ,Kukufuka na Kupaa Mbinguni.

Mk 15:34 SUV​

Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…