Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Huu ujumbe wa kwamba hakuna mtu awezae kufika mbinguni bila kumfuata yesu uko sawa lkn jiulize ni kwa wakati gani.kuna vitu inabid kabla ya kubishana tujiulize wenyew katika akili zetu mfano hapa Tz kila baada ya miaka 10 anateuliwa Rais mpyaa na kila Rais anakuja na mifumo baadh mpyaa na haijawah tokea mtu akasema Rais wa sasa simtambui na hata dini ni hivo kama tunajua Mungu alimtuma Ibrahim akamtuma Daud Musa na kisha yesu kwanini mkatae ujio wa Muhammad?
Mkuu. Hoja yangu haijajikita huko unakotaka kunipeleka.

Hoja yangu kuu ni hii: Kama mwislamu anaweza kusema kuwa hakuna atakayekwenda mbinguni bila kuwa mwislamu; na akatoa na ushahidi kutoka katika kitabu chake anachokiamini (ambacho wengine wasio waislamu wanaweza wasikiamini); ni nini kinachompinga Mkristo (au dini nyingine yo yote) kusema kwamba bila kupitia dini yake hakuna kwenda mbinguni; na akatoa na ushahidi kutoka katika vitabu vyake vya dini anavyoviamini?

Kwa maneno mengine; ni kwa nini unaamini kuwa Uislamu ndiyo njia sahihi ya kwenda Akhera? Ni kwa vile Quran (ambayo wengine wasio waislamu hawaiamini) imesema hivyo ama?

Kwa nini Mkristo asiamini kuwa bila Yesu hakuna kwenda mbinguni; wakati Biblia anayoiamini inasema hivyo?

Umenielewa?
 
Kwa maneno mengine; ni kwa nini unaamini kuwa Uislamu ndiyo njia sahihi ya kwenda Akhera? Ni kwa vile Quran imesema hivyo?

Kwa nini Mkristo asiamini kuwa bila Yesu hakuna kwenda mbinguni; wakati Biblia anayoiamini inasema hivyo?

Umenielewa?
Iq ndogo hawawezi kukuelewa...
 
Mimi kama mwekahazina wa "iam proud to be Muslim".,
Natia kambi hapa japo nimechelewa lengo ni kusoma comments tu.
 
Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya zinazozungumzia hasara ya kufuata dini nyingine:

Surah Al-Imran (3:85)

  • "Na anayefuata dini isiyokuwa ya Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye huko Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara."
  • Aya hii inaeleza wazi kwamba mtu yeyote anayefuata dini nyingine isipokuwa Uislamu hatakubaliwa na Mwenyezi Mungu, na atapata hasara Akhera.

Surah Al-Ma'idah (5:72)

  • "Kwa hakika wamekufuru wale waliosema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu, hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu. Hakika mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu atamharamishia Pepo, na makazi yake ni Motoni. Na wala wenye kudhulumu hawatapata wa kuwanusuru."
  • Hapa, Quran inakemea wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu na kuwakataa kuwa wataingia motoni na watakosa msaada wowote.

Surah At-Tawbah (9:30)

  • "Na Mayahudi wanasema: 'Uzair ni mwana wa Mwenyezi Mungu,' na Wakristo wanasema: 'Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu.' Hayo ndiyo wasemayo kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"
  • Aya hii inaeleza kwamba wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kumfanya Uzair au Masihi kuwa mwana wa Mwenyezi Mungu ni wakufuru, na Mwenyezi Mungu anawashutumu vikali.

Surah Al-Kafirun (109:1-6)

  • "Sema: Enyi makafiri! Siabudu mnachoabudu, wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Wala sitaabudu mnavyoabudu nyinyi, wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu."
  • Hapa, Quran inasisitiza tofauti za wazi kati ya Uislamu na dini nyingine, na inaonyesha kuwa wale wanaofuata dini nyingine wako katika upotovu.

Surah Al-Bayyinah (98:6)

  • "Hakika wale waliokufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina watakuwa katika Moto wa Jahannam kudumu humo. Hao ndio wabaya wa viumbe."
  • Aya hii inabainisha kuwa wale waliokufuru miongoni mwa watu wa Kitabu (Mayahudi na Wakristo) na washirikina watapata adhabu ya moto wa Jahannam milele.
Katika Quran, ujumbe ni wazi kwamba kuamini na kufuata Uislamu ni njia pekee ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu na kuepuka hasara ya Akhera. Wale wanaofuata dini nyingine wanaonywa kuhusu adhabu na hasara wanayoweza kupata kwa kutokufuata ukweli wa Uislamu.

FAIDA YA KUWA MUISLAM
Quran inatoa mwongozo na mafundisho mengi yanayoelezea faida za kuwa Muislamu. Hapa chini kuna baadhi ya aya zinazozungumzia faida hizo:

1. Amani na Utulivu wa Kiroho

  • Surah Ar-Ra'd (13:28):
    "Wale walioamini na nyoyo zao zikajaa utulivu kwa kumtaja Mwenyezi Mungu. Bila shaka kwa kumtaja Mwenyezi Mungu nyoyo hutulia."
    • Aya hii inaelezea kuwa kumtaja Mwenyezi Mungu huleta utulivu na amani ya ndani kwa Waislamu.

2. Mwongozo na Nuru

  • Surah Al-Baqara (2:257):
    "Mwenyezi Mungu ni mlinzi wa wale walioamini. Huwatoa gizani na kuwaingiza katika nuru. Na wale waliokufuru, walinzi wao ni mashetani. Huwatoa nuruni na kuwaingiza katika giza."
    • Mwenyezi Mungu huwapa Waislamu mwongozo na nuru, akiwatoa gizani na kuwaingiza katika mwanga wa haki.

3. Msamaha na Rehema

  • Surah Az-Zumar (39:53):
    "Sema: Enyi waja wangu mliojidhulumu nafsi zenu! Msiikate tamaa rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ndiye Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu."
    • Uislamu unatoa nafasi ya msamaha na rehema kwa wale wanaotubu na kumrudia Mwenyezi Mungu.

4. Malipo ya Pepo

  • Surah An-Nisa (4:57):
    "Na wale walioamini na kutenda mema, tutawaingiza katika mabustani yapitayo mito kati yake, wadumu humo milele. Humo watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika kivuli cha kunyamaza."
    • Waislamu wanaoamini na kutenda mema wanapewa ahadi ya kuingia Peponi na kufurahia maisha ya milele yenye neema.

5. Heshima na Hadhi

  • Surah Al-Hujurat (49:13):
    "Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tukakufanyeni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni yule aliye mchamungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye habari."
    • Uislamu unahimiza heshima na hadhi kwa watu wote, na kuwa mtukufu mbele ya Mwenyezi Mungu ni kwa uchamungu na matendo mema.

6. Umoja na Undugu

  • Surah Al-Hujurat (49:10):
    "Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe."
    • Uislamu unasisitiza umoja na undugu miongoni mwa Waislamu, ambapo wanapaswa kusaidiana na kupendana.

7. Heshima kwa Wazazi

  • Surah Al-Isra (17:23):
    "Na Mola wako ameamrisha usimuabudu yeyote ila Yeye tu, na (ameamrisha) kuwafanyia wema wazazi wawili. Kama mmoja wao au wote wawili wakifikia uzee nao wapo pamoja nawe, basi usiwaambie hata ‘Ah!’ wala usiwakemee, na waambie maneno ya heshima."
    • Uislamu unafundisha heshima kubwa kwa wazazi na kuwatendea wema, hasa wanapokuwa wazee.

8. Kujiepusha na Madhara

  • Surah Al-Baqara (2:195):
    "Na toeni katika njia ya Mwenyezi Mungu, wala msijitumbukize kwa mikono yenu katika maangamizo; na fanyeni wema; hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema."
    • Uislamu unafundisha kujiepusha na mambo yanayoweza kusababisha madhara na kuhimiza kufanya wema.
0

allah akulipe inshaallah , dini unaijua vizuri ! binafsi nakupongeza kwa kufikisha ukweli kwa uwazi sema nafsi potofu hazitakuelwa maana mwemyezi mungu amasema katika Qur'an amegonga mihuri kwenye nyoyo za baadhi ya makufari, hata ukiwafikishia muongozo vipi bado watanga'ng'ania kumkufuru ALLAH s.w
 
Mkuu. Hoja yangu haijajikita huko unakotaka kunipeleka.

Hoja yangu kuu ni hii: Kama mwislamu anaweza kusema kuwa hakuna atakayekwenda mbinguni bila kuwa mwislamu; na akatoa na ushahidi kutoka katika kitabu chake anachokiamini (ambacho wengine wasio waislamu wanaweza wasikiamini); ni nini kinachompinga Mkristo (au dini nyingine yo yote) kusema kwamba bila kupitia dini yake hakuna kwenda mbinguni; na akatoa na ushahidi kutoka katika vitabu vyake vya dini anavyoviamini?

Kwa maneno mengine; ni kwa nini unaamini kuwa Uislamu ndiyo njia sahihi ya kwenda Akhera? Ni kwa vile Quran (ambayo wengine wasio waislamu hawaiamini) imesema hivyo ama?

Kwa nini Mkristo asiamini kuwa bila Yesu hakuna kwenda mbinguni; wakati Biblia anayoiamini inasema hivyo?

Umenielewa?
dini ya kikiristo haitambuliwi na mungu maana ata yesu mwenyewe sio mkiristo,

na hakuna mjumbe yeyote wa mungu aliwahi kuwa mkiristo
 
uislam unajitetea wenyewe kwenye kitabu cha Qur'an, lakin ukiristo ata mwenye bible kwenyewe haupo
 
Attachments

  • IMG_9698.png
    IMG_9698.png
    72.1 KB · Views: 2
  • IMG_9699.png
    IMG_9699.png
    57.9 KB · Views: 2
  • IMG_9701.jpeg
    IMG_9701.jpeg
    35.5 KB · Views: 2
  • IMG_9700.png
    IMG_9700.png
    58.6 KB · Views: 2
wakiristo wote wanapaswa kuelewa
vitabu cha mungu
1. torati-musa
2.zaburi-daudi
3.injili-yesu
4.Quran.-Muhammad
je, bible ni mtume gani kaja nayooooo???
yesu mwenyewe alifanya ibada za kusujudi -ibada za mitume wote zilikuwa hivo,
waislam pia wanafanya hivo hivo
je , ibada za kupiga makofi, kunengua, wanawake kwenda uchi, ibada za kupiga makelele, wenzetu wamezitoa kwa mtume nani?????
vifungu vingi yesu amesema" mjue kwanza mungu wa pekee ndipo unijue mimi yesu aliyenitum, soma yohana 17 verses,
je, ni kifungu gani yesu alisema yeye ndio aaabudiwe ???

wakati yesu yuko msalabani, alisema eloi eloi thama thabathan, lafudhi ya mashariki ya kati maana yake allah allah mbona umeniacha????
kwa akili tu ya kawaida utagundua kuwa yesu alikuwa anafanya ibada kwa mungu mwenyewe, ambaye huyo ndo kuabudiwa na muislim,

musa akavua viatu mahali patakatifu, waislam wanavua viatu mahali patakatifu, wakristo wamekwepa kifungu wanavua zambi sijui wanavuaje
 
0

allah akulipe inshaallah , dini unaijua vizuri ! binafsi nakupongeza kwa kufikisha ukweli kwa uwazi sema nafsi potofu hazitakuelwa maana mwemyezi mungu amasema katika Qur'an amegonga mihuri kwenye nyoyo za baadhi ya makufari, hata ukiwafikishia muongozo vipi bado watanga'ng'ania kumkufuru ALLAH s.w
 
Attachments

  • IMG_9703.png
    IMG_9703.png
    65.2 KB · Views: 2
  • IMG_9704.jpeg
    IMG_9704.jpeg
    35.4 KB · Views: 2
  • IMG_9658.jpeg
    IMG_9658.jpeg
    31.5 KB · Views: 2
  • IMG_9707.jpeg
    IMG_9707.jpeg
    34.4 KB · Views: 2
  • IMG_4505.jpeg
    IMG_4505.jpeg
    28.6 KB · Views: 2
Kila nafsi itaonja umauti si kweli
Wapo mitime ambao hawakufa lkn pia siku ya kiama nafsi nyingi tu mabilion zitakutwa dunian zikiwa hai
kwa mjibu wa Qur'an, siku ya kiama itapulizwa balagumu viumbe vyote vitakufaa, na baada ya hapo Allah atauliza kuna yeyote amebaki, kimya kitatawala kumaanisha hakuna kiumbe kimebaki
 
dini ya kikiristo haitambuliwi na mungu maana ata yesu mwenyewe sio mkiristo,

na hakuna mjumbe yeyote wa mungu aliwahi kuwa mkiristo

1. Kwanza ni Mungu na siyo mungu

2. Wewe umejuaje kuwa dini ya Kikristo haitambuliwi na Mungu? Mungu mwenyewe Amekwambia hivyo au umesoma kwenye Quran ( ambayo wengine hawaiamini)? Vipi kuhusu dini nyingine (Hinduism, Shintoism, Taoism....); zinatambuliwa na Mungu au ni Uislamu pekee?

3. Hakuna mjumbe ye yote wa Mungu aliyewahi kuwa Mkristo? Unaelewa chimbuko na maana ya jina Kristo/Mkristo?

4. Yesu hakuwa Mkristo...sawa na vile Muhammad hakuwa mwislamu ama? Kwa maana wote ni waanzilishi wa matapo yao ya fikra?
 
Wewe jamaa unaakili timamu kweli unalazimisha Kila mtu aamini huo ujinga wako fanya Yako mzee duniani hapa
 
wakiristo wote wanapaswa kuelewa
vitabu cha mungu
1. torati-musa
2.zaburi-daudi
3.injili-yesu
4.Quran.-Muhammad
je, bible ni mtume gani kaja nayooooo???
yesu mwenyewe alifanya ibada za kusujudi -ibada za mitume wote zilikuwa hivo,
waislam pia wanafanya hivo hivo
je , ibada za kupiga makofi, kunengua, wanawake kwenda uchi, ibada za kupiga makelele, wenzetu wamezitoa kwa mtume nani?????
vifungu vingi yesu amesema" mjue kwanza mungu wa pekee ndipo unijue mimi yesu aliyenitum, soma yohana 17 verses,
je, ni kifungu gani yesu alisema yeye ndio aaabudiwe ???

wakati yesu yuko msalabani, alisema eloi eloi thama thabathan, lafudhi ya mashariki ya kati maana yake allah allah mbona umeniacha????
kwa akili tu ya kawaida utagundua kuwa yesu alikuwa anafanya ibada kwa mungu mwenyewe, ambaye huyo ndo kuabudiwa na muislim,

musa akavua viatu mahali patakatifu, waislam wanavua viatu mahali patakatifu, wakristo wamekwepa kifungu wanavua zambi sijui wanavuaje
🤣🤣🤣 Alimwita Nani??Yesu Akiwa Msalabani??Allah🤣🤣🤣Allah ni Mungu alieletwa Duniani na Muhamad. Miaka 650+ Baada ya Bwana Na Mokozi Wetu YESU Kristu kufa ,Kukufuka na Kupaa Mbinguni.

Mk 15:34 SUV​

Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Back
Top Bottom