Muhammadi hana fundisho jipya la maana.
Mafundisho yote ya kitabu cha Qurani yalisha fundishwa kabla ya Qurani.
Fundisho Jipya la Qurani ni kuwaeleza Binadamu kuwa Majini yamesilimu na kuwa Maislamu.
Hilo fundisho halina mantiki kwakuwa sisi watu hatuwezi kuthibitisha kuwa Majini ni Maislamu kwakuwa hatuyaoni kwa macho yetu.
Wewe ushamwona Jini Mwislamu?
Nikisema hiyo ni habari ya uwongo utabisha?
Na nia ajabu kati ya viumbe visivyoonekana vinavyo ishi duniani Qurani inasema ni Majini tu ndio yalisilimu.
Vipi viumbe vingine tusivyo viona kama eliens na vinyamkera, navyo ni viisilamu ?