Lengo la Uislamu ni kuwasilimisha Wayahudi na Wakristo ili wawe Waislamu.
Maana yake wanataka Uyahudi na Ukristo ufe.
Ubaki Uislamu, Uhindu, na Dini nyingine.
Kwakuwa hizi imani mbili ni tishio kwao na ni imani halisi za Mungu wa Kweli.
Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo. Mungu aliyemwumba Adam na Hawa, Mungu wa Nabii Musa aliyeumba Mbingu na Nchi na vyote viujazavyo.
Aliyejitambulisha kwa jina la.
Kutoka (Exo) 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
And God said unto Moses, I AM THAT I AM: and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM hath sent me unto you.
Huyo Mungu Allah sijui katokewa wapi.
Allah alitakiwa aseme hivi.
"Mimi Mungu wenu Allah ndiye niliyejitambulisha kwa Nabii Musa kwa jina la, MIMI NIKO, Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo leo nakutuma Muhammadi kwa watu wangu"
Sio Mwarabu kaleta Kitabu na kumtambulisha Mungu Allah bila kutueleza katokewa wapi, kabla ya Muhamadi alikuwa anaitwa nani kwa jina. Nk.