Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu.

Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo. Na mtambue kuwa uwezo wenu wa kuilinda hii nchi unategemea ushirikiano kamili na wananchi.

Hatuombi mabaya yatokee lakini siku nchi hii ikipitia kwenye misukosuko ya kiusalama, mkipita mitaani katika kutekekeza majukumu yenu, mtakutana na sisi raia wa kawaida ambao awali mlikuwa mkitupiga hovyo.

  • Mkiishiwa chakula, hatutawapa.
  • Mkiishiwa maji, hatutawapa.
  • Mkitumia ubabe kama mlivyojizosha tutawawekea sumu.

Sifa ya kwanza ya kuwa Askari wa JWTZ ni kuwa Raia wa Tanzania, huwa nashangaa sana mnapojitofautisha na Raia kana kwamba nyie sio Raia! Sasa huo uaskari wameupataje! Au Ukishakuwa Askari, U-Raia unaisha?

Katika Serikali ya Awamu ya Tano, tulishuhudia chuki kubwa kati ya raia wa kawaida na Jeshi la Polisi, baada ya maaskari hao kutumia mamlaka vibaya na ubabe wa kishamba, nadhani hiyo chuki imepungua awamu hii.

Nia yangu ni njema na kama raia mwema, natumai haki yangu ya kikatiba kuwashauri. Badilikeni Masoja, Tanzania yenye ulinzi imara inaanza na raia wema, kisha Maaskari.

Sisi ni wengi kuliko nyie hivyo bila sisi hamtaweza kuilinda hii nchi. Acheni kupiga watu mitaani hovyo.
 
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu.

Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo. Na mtambue kuwa uwezo wenu wa kuilinda hii nchi unategemea ushirikiano kamili na wananchi.

Hatuombi mabaya yatokee lakini siku nchi hii ikipitia kwenye misukosuko ya kiusalama, mkipita mitaani katika kutekekeza majukumu yenu, mtakutana na sisi raia wa kawaida ambao awali mlikuwa mkitupiga hovyo.

Mkiishiwa chakula, hatutawapa
Mkiishiwa maji, hatutawapa
Mkitumia ubabe Kama mlivyojizosha tutawawekea sumu.

Katika serikali ya awamu ya tano, tulishuhudia chuki kubwa Kati ya raia wa kawaida na jeshi la Polisi baada ya maaskari hao kutumia mamlaka vibaya na ubabe wa kishamba, Nadhani hiyo chuki imepungua awamu hii.

Nia yangu Ni njema Kama raia mwema, natumai haki yangu ya kikatiba kuwashauri. Badilikeni Masoja, Tanzania yenye ulinzi imara inaanza na raia wema, Kisha Maaskari. Sisi ni wengi Kuliko nyie hivyo bila sisi hamtaweza kuilinda hii nchi.
Waambie kabisaa. Mimi kipindi cha nyuma Niliwahi kupigishwa kichura na mwanajeshi baada ya kumdai nauli
 
na nyie raia acheni ujeuri tuheshimiane.
tumeyasikia maoni yenu, tumwyapokea tutuyafanyia kazi kadiri inavofaa.
 
Kama wamekukung'uta wewe sema sehemu taja na kambi anayofanyia kazi utasaidiwa sio kulalama.

Anyway pole sana ndugu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu.

Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo. Na mtambue kuwa uwezo wenu wa kuilinda hii nchi unategemea ushirikiano kamili na wananchi.

Hatuombi mabaya yatokee lakini siku nchi hii ikipitia kwenye misukosuko ya kiusalama, mkipita mitaani katika kutekekeza majukumu yenu, mtakutana na sisi raia wa kawaida ambao awali mlikuwa mkitupiga hovyo.

Mkiishiwa chakula, hatutawapa
Mkiishiwa maji, hatutawapa
Mkitumia ubabe Kama mlivyojizosha tutawawekea sumu.

Katika serikali ya awamu ya tano, tulishuhudia chuki kubwa Kati ya raia wa kawaida na jeshi la Polisi baada ya maaskari hao kutumia mamlaka vibaya na ubabe wa kishamba, Nadhani hiyo chuki imepungua awamu hii.

Nia yangu Ni njema Kama raia mwema, natumai haki yangu ya kikatiba kuwashauri. Badilikeni Masoja, Tanzania yenye ulinzi imara inaanza na raia wema, Kisha Maaskari. Sisi ni wengi Kuliko nyie hivyo bila sisi hamtaweza kuilinda hii nchi.
Ungeeleza kisa kimojawapo kamili cha kuzabuliwa makofi na mahali kilipotokea na mhaga wa hilo saga ingelipendeza sana!

Maelezo mengine uliyoyatoa ni ya busara na kweli tupu.

Nimeomba hivyo ili tushee kanuni na taratibu za kuchukua pindi litokeapo tatizo kama hilo.

Ninajua ni aina gani ya wanajeshi wanaoweza kufanya vitendo hivyo.

Hivyo ungelikiweka kisa ningelishauri ushauri ambao ungewanufaisha hata wanajeshi wenyewe.

Jeshi lolote kushinda vita huwezeshwa na wananchi kwa misaada mbali mbali ya kibinadamu na ya hali na mali ikiwemo reserve.

Manufaa ya haya ninayoyasema na uliyoeleza nimewahi kuyashuhudia katika maisha yangu ya huko nyuma, ambapo sasa imebakia historia.
 
Back
Top Bottom