Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #41
Wanajeshi wetu ni vilaza Sana, wakiwa kwenye uniform wanajiona wao ni wao kumbe ni zero tuKENGE WEWE!
wacha ushamba kuonea raia wasiojua haki zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi wetu ni vilaza Sana, wakiwa kwenye uniform wanajiona wao ni wao kumbe ni zero tuKENGE WEWE!
wacha ushamba kuonea raia wasiojua haki zao
Sijawahi kuvaa sare za majeshi. Na sijasema nilipigwa kwa sababu ya kuvaa sare.msipende kuvaa magwanda yetu ambayo ni nyara za serikali.
Nimesema tuheshimiane, Full stop.
Kawadanganye wanaoUngekuja kutoa malalamiko yako sehemu husika ili upate haki yako jeshi ni la wananchi ni mali yenu sote.
Sehemu husika ni wapi maana Polisi wenyewe huwa wanaogopa😅Ungekuja kutoa malalamiko yako sehemu husika ili upate haki yako jeshi ni la wananchi ni mali yenu sote.
shukrani.Sijawahi kuvaa sare za majeshi. Na sijasema nilipigwa kwa sababu ya kuvaa sare. **** mamaako mbwa wewe
Nimekojoa saa ngapi? Acha usengeIla na Sisi raia tuache ujeuri.....we unakojoa kwenye uzio wa kambi ya jeshi unategemea nini
Kwa Sababu ya uonevu wao🧢🙏🏿Binafsi Tz ikivamiwa sitaisaidia
Jeshi ni mali ya watanzania kwenye swala la kuonewa ni kujitakia tu mwenyewe.Kawadanganye wanao
Jeshi ni mali ya CCM
CCM ni adui wa umma
Sehemu husika ni kwenda kumripoti kwa wakubwa zake ni ishu nyepesi tu lazima ashughulikiwe ipasavyo.Sehemu husika ni wapi maana Polisi wenyewe huwa wanaogopa[emoji28]
Mkuu weka contact hapa nakukuhakikishia kichura chura utaruka na mwezi wa 12 ni mbali utatupa mrejesho......Kigoma
Kama wamekukung'uta wewe sema sehemu taja na kambi anayofanyia kazi utasaidiwa sio kulalama.
Anyway pole sana ndugu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app