Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Wewe bwana wewe raia Huwa wachokozi sana angesema kisa kilichomfanya apigwe ili tupime uzito wa kosa...!​
Hataki kusema anademadema tu .
Ila kila nikiwaza mtu mzima na familia yako upigwe vibao na kajamaa kamoja eti kanajeshi naishiwa nguvu .

Ngoja niendelee kufuatilia darasa kwa bwana NALIA NGWENA

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nye keyboard warriors huwa mnachekesha sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha ni haya haya rafiki acha tufurahi .
Japo kiukweli hawa jamaa sijui nawaonaje labda kwakuwa nimekulia kwenye vikota vyao kwahiyo hata akileta story za kunitisha uwa naishia kumtukana ninavyo jua huku nimeandaa nyonga na miguu yangu tu [emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Daktari ya kweli haya au ndiyo wikiendi ishaanza rafiki yangu?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nishatwangana Makonde na wanajeshi wasiopungua watatu.

Na wote ni wepesi sana. Bahati mbaya kwao, wanakuwa wababe wakilewa. Na Daktari situmii kilevi cha aina yeyote.

Mkuu, ninafahamiana na Boss wao. Ni rafiki yangu sana. Hivyo, nikiwabonda nampigia.
 
wanajeshi hamna kitu pale. Kuna siku mjeda aliniletea vitisho vya kijinga. nikamwambia siku akiwa tayari aje tupimane. toka siku hiyo akawa ananiheshimu sana
Usipende kutunishiana misuli na wanajeshi wengine ni makomando ukaishia kucheua damu.
 
Safi kabisa hapa hapa nataka apatikane mshindi sasa .

Ni wizara ya afya vs wizara ya ulinzi tuko hapa kumuona mwamba sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Muambie hako katoto, kama anajiamini apange appointment.

November nitakuwa Arusha. Naendesha Van Guard nyeusi, namba 76.. DVS.

Nikiwa Arusha nahudumu Hospital ya Seliani. Natoka kazini mara nyingi saa 11. Kuna mahali napitia, jioni ya saa 2 nakuwa njiani kuelekea nyumbani Ngara.

Aje alete upuuzi wake. Ila awe mwanajeshi.
 
Umeamua kutunywesha chai bila kupenda,wewe upigane na wanajeshi watatu 3 na uwapige?? Movie zisikudanganye.
Vijana 3 tu wenye miaka 20 wasio na mafunzo yoyote wanakuweka chini sembuse upigane na watu wenye mafunzo ukomavu na ustahimilivu!!
 
Umeamua kutunywesha chai bila kupenda,wewe upigane na wanajeshi watatu 3 na uwapige?? Movie zisikudanganye.
Vijana 3 tu wenye miaka 20 wasio na mafunzo yoyote wanakuweka chini
Siyo kupigana na watatu kwa pamoja. Kwa nyakati tofauti.

Umri wangu sasa ni 40+. Nikiwa kijana shababi wa Kimasai kwenye my thirties, ndiyo walikula hicho kipondo.

Nawe ni askari?
 
Ni Vijiushamba tuu vya hovyo na asilimia kubwa vimetengenezwa kwenye jamii ya hovyohovyo,,,jamii ya kishamba kifkra,,kimaono,,na kimitazamo pia!!!
 
Askari mmoja au watatu ndiyo useme JWTZ?
KENGE WEWE.
Utakuwa ulibinywa makende na kajamaa kamoja tu
 
Wanajeshi ambao hawakwendaga shule huwa wana akili za hovyo sana!

Mbaya zaidi raia hawazijui haki zao na sheria hawaijui basi mtihani kwelikweli
Nina jirani yangu ni mjeda, wale walioingia Ujedani kwa sababu ya michezo (Boxing)..yaani ana upumbavu wa kifala sana.....ukikaa nae hata dk 10 chaap utagundua humu shule hakuna
 
Hapana, alikuwa anaendesha gari kulia, nilipohamisha bike akanifuata Tena, niliposimama akasimama akatoka nje ya gari akachukua ufunguo wa bike akaanza kunifokea na kunipiga
Alikuwa kanywa...? Hakukupigia honi kama yupo kwenye dharura...? Kuna ukakasi hapa...eleza vizuri unaweza kupata msaada...

Je funguo zako alikurudishia...?
 
Mimi kuna siku moja pale asubuhi naenda job,sasa nilikuwa katika mwendo na pikipiki yangu, mara kuna gari ya mwenzao ikataka kukatiza road kinyume cha sheria,akanisimamisha ili ipite,nilikuwa kasi na ningesimama ghafla ningeanguka ,nikapita tu,mbele kule mmoja aliniona akanisimamisha na kuniamuru nishuke, nikashuka, akaniambia kaweke pikipiki pale harafu wewe kalale pale, nikamwambia kuweka pikipiki nitaweka ila kulala haitowezekana,naeza nikapigwa picha hapa na mimi ninawatoto,wakiona itashusha heshima yangu,bora waone tukiwa tunalumbana kuliko kuniona nikiwa nimelala pale,sema kulikuwa na mkubwa mmoja mstarabu sana akasema niende ,ilikuwa zamani saana nahisi ni 2011 kama sijakosea
 
Alikuwa kanywa...? Hakukupigia honi kama yupo kwenye dharura...? Kuna ukakasi hapa...eleza vizuri unaweza kupata msaada...

Je funguo zako alikurudishia...?
...Sidhani Kama alikuwa amelewa

....Hakunipigia Horn

...Alinirudishia baada ya kunipiga makofi masikio, Hadi mwaka huu wakati wa baridi masikio yangu yalikuwa yanauma kwa sababu ya yale makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…