Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Siku zote ukizozana au askari akikufanyia ubaya chukua namba za gari kwa usahihi kama hana chukua namba zake za utambulisho. Jizuie kugombana kama kuna watu jirani waombe wachukue video. Hao mafara ajira zao wameandikwa kwa penseli
 
Ongea naye aridhie.

Na kwa kuwa hawahudumiwi hospital za kiraia, namgonga kisha namhudumia.

Atakuja kufatwa kupelekwa hospital ya Jeshi TMA kwa uangalizi zaidi.
 
Umeandika utumbo wa bata.
 
Ongea naye aridhie.

Na kwa kuwa hawahudumiwi hospital za kiraia, namgonga kisha namhudumia.

Atakuja kufatwa kupelekwa hospital ya Jeshi TMA kwa uangalizi zaidi.
Safi kabisa ila itoshe kusema afande Elias K ni muoga sana yaani mpka kujibu anaogopa .
Mimi nakuita afande njoo tumalize utata hapo Arusha bablah mbona gharama zote zitalipwa mpaka ukipigwa madaktari wapo kukutibu maana itakuwa ni ajari kazini .

Nb .Itafanywa siri sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Katabia ka askari wetu kujitia amira na kuumuka mabega juu na kutishia raia hususani mabarabarani wakiwa na magari
ni kubwa zaidi inavyofikiriwa , ila ni ushamba tu hasa askari mbarara ,siyo maofisa wakubwa. Wanajisahau kuwa wanatokana na raia, hata mishahara ni kodi ya raia. Lakini pia traffic police wanawagwaya wakivunja sheria
 
Sio Elias K sio askari yeye ni raia,na sio yeye aliesema anaweza kumzibua raia muda wowote
 
Sio Elias K sio askari yeye ni raia,na sio yeye aliesema anaweza kumzibua raia muda wowote
Ni nani kaka ?
Maana catalyst niko hapa kuhakikisha pambano linakuwepo .

Maana wizara ya afya tushampata muwakilishi wetu sasa bado watu wa wizara ya ulinzi watoe mtu wao ili ndugu yetu Restless Hustler afurahie kulipiwa kisasi maana kaonewa na hao watoto wa bakabaka

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ni kijana wa hovyo.

Nimemsoma kuna mahali alirukishwa kichura chura na mwanajeshi kisa kadai nauli.

Bila shaka ni boda boda ama konda wa Hiace , au la kijana wa Bajaji.

Ndiyo maana, akisikia kuna wanajeshi anapata wazo kuwa wote tupo sawa. Kwamba wote sisi ni lele mama kwa hao walinzi.

Ajifunze kujipambania. Aache unyonge wa kipumbavu.
 
Ukiwa mkaidi utashughulikiwa TU

Askari jeshi anafundishwa namna ya kupambana na adui (especially mgeni) anaetishia usalama wa taifa,

Hayo wanayoyafanya Kwa raia ni baadhi TU ya mambo wanayofanyiwa mateka vitani
Mwingiliano wa askari jeshi na raia ndo umezaa haya yote

Nilichogundua wengi humu ni keyboard warriors
 
Siungi mkono askari kumuonea raia asiye na makosa, ukionewa ripoti Kambi ya karibu na wewe ila inategemea na akili ya utakaowakuta.

Ila BWANA Dr cha kujisifia kuwa unaweza kupambana na askari na ukamshinda utaumia ndugu yangu hata huyo mkubwa unaemsemea hatakusaidia
 
Unanijua kwani Mimi?

Sijisifii tu bure. Nishawatwanga wala si mara moja.

Na huyo mkubwa wao simpigii anipe msaada. Bali nampigia kumpa taarifa kuwa nimemtwanga askari wake.
 
Siungi mkono askari kumuonea raia asiye na makosa, ukionewa ripoti Kambi ya karibu na wewe ila inategemea na akili ya utakaowakuta.

Ila BWANA Dr cha kujisifia kuwa unaweza kupambana na askari na ukamshinda utaumia ndugu yangu hata huyo mkubwa unaemsemea hatakusaidia
 
Ana dharau Sana huyo brother
 
Kwahiyo hizo Ni kazi za hovyo? Acha dharau mkuu. Kama Mungu alikujaalia kusoma na kupata kipato cha juu usidharau hustles za wengine.
Huu unyonge ndiyo unakufanya unapigwa.

Sijasema kazi za hovyo, bali nimekuita wewe ndiye kijana wa hovyo. Unambeba mtu, alafu badala ya kukulipa haki (nauli) yako anakulipa kichura chura.

Na wewe kinyonge unaondoka kisha unakuja mtandaoni kuwatia wengine uoga? Hapana aisee!

Acha kutia huruma. Pambana mdogo wangu.

Alafu usiseme Mungu kanijalia. Nimeweka juhudi, alafu Mungu akanijazilishia. Sijawahi Daktari kwa bahati mbaya au kwa huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…