Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

No time for that

Karibu 92kj
Mmchanganie...?
Hivi baadhi yenu huwa hamfunzwi kupambana wenyewe?
Ikitokea hata bodaboda kakuzingua,unataka mmchanganie,aisee eti aje kambini,kwanini wewe usimfuate kazini kwake,ukute yupo na wadau wake,uone kama utafua dafu?
Kwa zama za drones,kupambana kimakundi,mtapukutika sana,ombeni vita isitokee,muwe mnaishia DRC na Mozambique,maana ndo maeneo mnayoenda,mkiambiwa Somalia,mnanywea.Ingekua mimi ni CDF,ningekata bogi moja,litue pale Gaza,kuwasaidia Wausrael... muone moto wa wanamgambo wanaitwa Hamas..,mchangàmke kidogo.
 
Bro
Naomba kwa leo nikuache tusiendelee kubishana maana hapa unayezungumza naye nimekulia huko nimesoma huko na bado naishi na hao watu so unachoniambia sikuelewi .

Itoshe kukumbusha kuwa nilifukuzwa huko baada ya kufanya ninayo yajua mimi so usinipange afande wangu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sikatai kuhusu wewe kukulia kotaz

Ninachokijua ukiwa kotaz huwezi kuyajua yanayofanyika general office au mp section
 
Mmchanganie...?
Hivi baadhi yenu huwa hamfunzwi kupambana wenyewe?
Ikitokea hata bodaboda kakuzingua,unataka mmchanganie,aisee eti aje kambini,kwanini wewe usimfuate kazini kwake,ukute yupo na wadau wake,uone kama utafua dafu?
Kwa zama za drones,kupambana kimakundi,mtapukutika sana,ombeni vita isitokee,muwe mnaishia DRC na Mozambique,maana ndo maeneo mnayoenda,mkiambiwa Somalia,mnanywea.Ingekua mimi ni CDF,ningekata bogi moja,litue pale Gaza,kuwasaidia Wausrael... muone moto wa wanamgambo wanaitwa Hamas..,mchangàmke kidogo.
Pole ndugu yangu

Hakuna raia anaechangiwa na askari

Kuhusu mission askari wetu huenda Kila mahali msaada ukihitajika.
 
Muambie hako katoto, kama anajiamini apange appointment.

November nitakuwa Arusha. Naendesha Van Guard nyeusi, namba 76.. DVS.

Nikiwa Arusha nahudumu Hospital ya Seliani. Natoka kazini mara nyingi saa 11. Kuna mahali napitia, jioni ya saa 2 nakuwa njiani kuelekea nyumbani Ngara.

Aje alete upuuzi wake. Ila awe mwanajeshi.
Ngara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema una miaka 40+? Ila bado ndo unaandika kipumbavu hivi halaf kumbe ni Dr? Acha ujinga mkuu, Mwanajeshi hana Boss kila Mwanajeshi ni askari lakini sio kila askari ni mwanajeshi. Halafu ukazunymzia et tu Cpl? cpl ni international rank anampa darasa Cadet na kuendelea, Jeshi ni la wananchi wa tanzania sio mali ya mtu ukiona kuna mshenzi kaleta ushenzi ni yeye na sio jeshi. LA WANANCHI
Wengi hawafahamu kuwa jeshi ni mali yao
 
Kwangu mm naona ni tofauti sana hakuna watu wanaojitambua Kwa walinzi wetu km jeshi mpk unagombana nao something serious imetokea ni tofauti sn na askari wengine,kwao nidhamu,usafi na heshima ni muhimu sn those are their roles and you have to respect that all the time ukizingua lazima wakuadabishe regardless na eneo.
Tena wanajeshi wana nidhamu sana maana ukienda kinyume na taratibu na sheria za jeshi lazima upewe adhabu,ndomaana wale wanaozingua wanaogopa sana kuripotiwa au wakubwa kujua maana kuna adhabu siyo ya kitoto
 
Mmchanganie...?
Hivi baadhi yenu huwa hamfunzwi kupambana wenyewe?
Ikitokea hata bodaboda kakuzingua,unataka mmchanganie,aisee eti aje kambini,kwanini wewe usimfuate kazini kwake,ukute yupo na wadau wake,uone kama utafua dafu?
Kwa zama za drones,kupambana kimakundi,mtapukutika sana,ombeni vita isitokee,muwe mnaishia DRC na Mozambique,maana ndo maeneo mnayoenda,mkiambiwa Somalia,mnanywea.Ingekua mimi ni CDF,ningekata bogi moja,litue pale Gaza,kuwasaidia Wausrael... muone moto wa wanamgambo wanaitwa Hamas..,mchangàmke kidogo.
Ndo umeandika nini sasa embu tulia kwanza acha mihemko.
 
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu.

Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo. Na mtambue kuwa uwezo wenu wa kuilinda hii nchi unategemea ushirikiano kamili na wananchi.

Hatuombi mabaya yatokee lakini siku nchi hii ikipitia kwenye misukosuko ya kiusalama, mkipita mitaani katika kutekekeza majukumu yenu, mtakutana na sisi raia wa kawaida ambao awali mlikuwa mkitupiga hovyo.

Mkiishiwa chakula, hatutawapa
Mkiishiwa maji, hatutawapa
Mkitumia ubabe Kama mlivyojizosha tutawawekea sumu.

Sifa ya kwanza ya kuwa Askari wa JWTZ ni kuwa RAIA wa TZ lakini huwa Nashangaa sana mnapojitofautisha na RAIA kana kwamba nyie sio RAIA, Sasa huo uaskari wameupataje!?

Au Ukishakuwa ASKARI, U-RAIA unaisha?

Katika serikali ya awamu ya tano, tulishuhudia chuki kubwa Kati ya raia wa kawaida na jeshi la Polisi baada ya maaskari hao kutumia mamlaka vibaya na ubabe wa kishamba, Nadhani hiyo chuki imepungua awamu hii.

Nia yangu Ni njema na Kama raia mwema, natumai haki yangu ya kikatiba kuwashauri. Badilikeni Masoja, Tanzania yenye ulinzi imara inaanza na raia wema, Kisha Maaskari.

Sisi ni wengi Kuliko nyie hivyo bila sisi hamtaweza kuilinda hii nchi. Acheni kupiga watu mtaani makofi hovyo.
Word...
 
Mmchanganie...?
Hivi baadhi yenu huwa hamfunzwi kupambana wenyewe?
Ikitokea hata bodaboda kakuzingua,unataka mmchanganie,aisee eti aje kambini,kwanini wewe usimfuate kazini kwake,ukute yupo na wadau wake,uone kama utafua dafu?
Kwa zama za drones,kupambana kimakundi,mtapukutika sana,ombeni vita isitokee,muwe mnaishia DRC na Mozambique,maana ndo maeneo mnayoenda,mkiambiwa Somalia,mnanywea.Ingekua mimi ni CDF,ningekata bogi moja,litue pale Gaza,kuwasaidia Wausrael... muone moto wa wanamgambo wanaitwa Hamas..,mchangàmke kidogo.
Hahaha kwamba wakiambiwa somalia wanaywea? Hiv hizi story inakuaje mpaka mnafika huku mkuu. Kwamba CDF anakata bog tu shwaaaaa aiseee
 
Nilete mihemuko mimi? Nyuma ya keyboard?
Mimi sio koplo, nnayoyaweza hayaniruhusu nikujibu utakalo.
Huyo unayesema unamchapag makofi halafu unampigia boss wake kumpa taarifa huu ni upumbavu unaouandika hakuna Kitu hicho.
Halafu hao wanajeshi wanaoonea watu mnakutana nao wapi zaidi ya kuwa story tu za bar. Hata kama ni la saba mwenye fani ya tawi kuna upumbavu haleti mpka umletee ujuaji.. Mafunzo ya askari yeyote tz ukimletea ujuaji ndo hasara yako.
Wanajeshi wengi ugomvi wao chanzo
Mademu tu,na sehemu za starehe

Ova
 
Hahaha kwamba wakiambiwa somalia wanaywea? Hiv hizi story inakuaje mpaka mnafika huku mkuu. Kwamba CDF anakata bog tu shwaaaaa aiseee
Wanajeshi wa tz asilimia kubwa wana relax tu hawakutani na mbilingembilinge

Ova
 
Si mnasemaga wanajeshi ni watu peace,mnawapenda imekuaje tena leo?[emoji1]

Wanajeshi endeleeni kuwapasua hao raia ili wajue vyombo vya dola sio vya kuchezewa kifalaguzi.
 
Back
Top Bottom