Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:

Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi muhimu sana kwa kuonyesha ukomavu , utu na malengo ya siasa safi.

SASA , Asema Bwana , yoyote miongoni mwenu ambaye kazi hii ni kwa maslahi yake binafsi bila kujali wajibu tunao uhubiri juu ya haki , utu na usawa , hata akishinda HATAISHI na familia yake italaaniwa. kwa maana tutakuwa tuna hubiri maono ambayo hatuyaishi na huku watu wengi wakipata mateso na hata mauti kwa ajili ya kufuata ushauri wenu/ wetu. Nawatakia kila la heri. Nitaongea baada ya kumaliza maombi.
 
Maneno haya ni makali sana na yenye unabii ndani yake.

Huhitaji akili kubwa kujua kuwa anayelengwa na ujumbe huu ni Mbowe.

Lakini **** ujumbe uliofichika unaashiria kuwa Mbowe huwa anashinda kwa hila, na kwamba huwa ni kwaajili ya kutafuta maslahi binafsi.
 
Si umeisha hamia CCM?

Amandla...

Si umehamia CCM?

Amandla...
 
Maneno haya ni makali sana na yenye unabii ndani yake.

Huhitaji akili kubwa kujua kuwa anayelengwa na ujumbe huu ni Mbowe.

Lakini **** ujumbe uliofichika unaashiria kuwa Mbowe huwa anashinda kwa hila, na kwamba huwa ni kwaajili ya kutafuta maslahi binafsi.
Tena kwa gharama ya damu za watu huku wengine wakipata ulemavu.
 
Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:

Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi muhimu sana kwa kuonyesha ukomavu , utu na malengo ya siasa safi.

SASA , Asema Bwana , yoyote miongoni mwenu ambaye kazi hii ni kwa maslahi yake binafsi bila kujali wajibu tunao uhubiri juu ya haki , utu na usawa , hata akishinda HATAISHI na familia yake italaaniwa. kwa maana tutakuwa tuna hubiri maono ambayo hatuyaishi na huku watu wengi wakipata mateso na hata mauti kwa ajili ya kufuata ushauri wenu/ wetu. Nawatakia kila la heri. Nitaongea baada ya kumaliza maombi.
Ujumbe huu asiache kuuona johnzebaptisst.
 
Ulisema unahamia ACT au?
 
Amen
 
Nadhani Lema ni mtu aliyekubaliana na wote lakini kuna hisia za yeye kuwa na hofu kwa wagombea hão kutokuishi kwenye maono ya chama .
N.B Lema kampiga kijembe Mbowe
 
Mtu akitekeleza haki yake ya msingi na kidemokrasia ndani ya chama ambacho ni mwanachama halali, inakuvunja moyo?
Haki ya msingi isiozingatia uhai na maslahi ya chama ni ufedhuli huo..hisia za wafuasi wengi kwa sasa ni kupata ladha tofauti ya uongozi yenye kuamsha ari ya kujitengeneza upya na kusonga mbele, na hiyo haipatikani tena kwa Dj
 
Hivi kwanini Lema anapenda matamshi ya kulaani sana?!
 
Katika maelezo haya, Lema anasisitiza umuhimu wa kuwa na uchaguzi wa haki na wa wazi mwezi Januari. Anasema kuwa viongozi wanapaswa kuwa makini, kwani wananchi wana hofu kuhusu minyukano kati yao. LEMA anatoa onyo kwa wale wanaotafuta maslahi binafsi badala ya wajibu wa kijamii, akisema kuwa matokeo ya kujitenga na maadili ya haki na usawa yatakuwa mabaya, sio tu kwao bali pia kwa familia zao. Anahitimisha kwa kusema kuwa atazungumza zaidi baada ya maombi.
 
Lengo kuu la Chama chochote cha Siasa ni kushika Dola, lakini chini ya Siasa hizi za Mbowe sioni kabisa, au CHADEMA ya Ayatolah Mbowe inataka kuwa Wapinzani wa Milele?!

Mimi naziona kabisa Frustrations za Lissu.
 
Back
Top Bottom