Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:

Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi muhimu sana kwa kuonyesha ukomavu , utu na malengo ya siasa safi.

SASA , Asema Bwana , yoyote miongoni mwenu ambaye kazi hii ni kwa maslahi yake binafsi bila kujali wajibu tunao uhubiri juu ya haki , utu na usawa , hata akishinda HATAISHI na familia yake italaaniwa. kwa maana tutakuwa tuna hubiri maono ambayo hatuyaishi na huku watu wengi wakipata mateso na hata mauti kwa ajili ya kufuata ushauri wenu/ wetu. Nawatakia kila la heri. Nitaongea baada ya kumaliza maombi.
Mbowe hana tofauti na akina Mdee
 
Mbowe hadi wachagga wenzie wanamshangaa
Anawapa sifa mbaya wachagga waonekane walafi.
 
Ni muda muafaka sasa CHADEMA ioneshe ukomavu wa kidemokrasia. Ni wakati sasa wa miamba miwili kuionesha dunia ni namna gani UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAPASWA KUWA.

"kura huamua mashindano, hunyamazishq vinywa vya wakuu" mithali 18:18
Hakuna demokrasia kwenye saccos ya mtu
 
Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:

Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi muhimu sana kwa kuonyesha ukomavu , utu na malengo ya siasa safi.

SASA , Asema Bwana , yoyote miongoni mwenu ambaye kazi hii ni kwa maslahi yake binafsi bila kujali wajibu tunao uhubiri juu ya haki , utu na usawa , hata akishinda HATAISHI na familia yake italaaniwa. kwa maana tutakuwa tuna hubiri maono ambayo hatuyaishi na huku watu wengi wakipata mateso na hata mauti kwa ajili ya kufuata ushauri wenu/ wetu. Nawatakia kila la heri. Nitaongea baada ya kumaliza maombi.
Exactly well said.
 
Lengo kuu la Chama chochote cha Siasa ni kushika Dola, lakini chini ya Siasa hizi za Mbowe sioni kabisa, au CHADEMA ya Ayatolah Mbowe inataka kuwa Wapinzani wa Milele?!

Mimi naziona kabisa Frustrations za Lissu.
Chama kipi kingine cha upinzani ndani ya Tanzania chenye lengo la kushika dola?
 
Back
Top Bottom