Kwa nini mnamwamini Lissu ?? Lissu ndio wa kutiliwa shaka kwa sababu huko nje ya chama kuna maneno anatumwa ili aharibu chama huyu ndo wa kumtilia mashaka watu wnye akili washamstukia na ndo mana anafanya vitu vyake nje ya utaratibu ! Mfano mmoja wapo ni kuitisha waandishi wa habari na kuwaambia mimi nitagombea kabla muda muafaka wa kuchukua fomu haujafika ! Lengo ni nini, lengo lake manake anajiona yeye ndio kiongozi wengine hawafai na tayari alishatumwa na hao waliomtuma awahi kufanya hivo kabla ya muda rasmi ili kuwakatisha tamaa wengine na pia ili apate huruma ya wananchi.Kumbe allikuwa na ajenda ya siri.Kwa nini asisubiri muda muafaka ufike achukue fomu then aitishe waandishi wa habari.Kwa nini aliwahi kutangaza kabla ? ili awatishe watia nia wengine wamuachie yeye pekeeeee ?? Hamuoni hapa kuna kitu ???? Huyu ametumwa kuiua CHADEMA huyu ndo kapokea rushwa ?????!!!!!