Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

Kwa nini mnamwamini Lissu ?? Lissu ndio wa kutiliwa shaka kwa sababu huko nje ya chama kuna maneno anatumwa ili aharibu chama huyu ndo wa kumtilia mashaka watu wnye akili washamstukia na ndo mana anafanya vitu vyake nje ya utaratibu ! Mfano mmoja wapo ni kuitisha waandishi wa habari na kuwaambia mimi nitagombea kabla muda muafaka wa kuchukua fomu haujafika ! Lengo ni nini, lengo lake manake anajiona yeye ndio kiongozi wengine hawafai na tayari alishatumwa na hao waliomtuma awahi kufanya hivo kabla ya muda rasmi ili kuwakatisha tamaa wengine na pia ili apate huruma ya wananchi.Kumbe allikuwa na ajenda ya siri.Kwa nini asisubiri muda muafaka ufike achukue fomu then aitishe waandishi wa habari.Kwa nini aliwahi kutangaza kabla ? ili awatishe watia nia wengine wamuachie yeye pekeeeee ?? Hamuoni hapa kuna kitu ???? Huyu ametumwa kuiua CHADEMA huyu ndo kapokea rushwa ?????!!!!!
 
Bw.Imhotep, Huyo unaemwita Ayatollah Mbowe ndie aliezunguka nchi nzima kutafuta wanachama na kuitangaza CHADEMA wakati Lissu akizurula ulaya ! Hivi haya mlikuwa hamyaoni ? Kaja leo anaropoka ropoka tu ndo mnamuona anafaaaa ??? Huyo hafai ataua CHADEMA niko hapa nawambia.Tusubiri kura kwa kuwa wataoamua ni wanachama na sio sie tunaoshinda mitandaoni
 
🚮
Kwamba wewe chawa wa mboga mboga unaijua Chadema kuliko hata wana Chadema wenyewe?!!!
 
Wewe si umeishatangaza kuachana na cdm, mbona huachi kuchokonoa. Ukimtariki mkeo acha kufuatilia nyendo zake ili uwe na amani
 
Safu ya Lissu
 
Nabii kishatoa angalizo, Pascal Mayalla una Neno?
 
I see a fragmented Chadema come 2025.
Mchaga showing his true color with lust for money. Nyambav
 
Reactions: G4N
Ni muda muafaka sasa CHADEMA ioneshe ukomavu wa kidemokrasia. Ni wakati sasa wa miamba miwili kuionesha dunia ni namna gani UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAPASWA KUWA.

"kura huamua mashindano, hunyamazishq vinywa vya wakuu" mithali 18:18
 
Umeandika nini sasa!! Kusema atagombea kabla ya muda imekua nongwa?
 
Haki ya msingi isiozingatia uhai na maslahi ya chama ni ufedhuli huo..hisia za wafuasi wengi kwa sasa ni kupata ladha tofauti ya uongozi yenye kuamsha ari ya kujitengeneza upya na kusonga mbele, na hiyo haipatikani tena kwa Dj
Mkuu hizo hisia za wafuasi wazionyeshe kwenye sanduku la kura. Waache kulialia. Mbowe aliingia kwa Kura na Atatolewa kwa Kura.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…