Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

Mbowe hana tofauti na akina Mdee
 
Mbowe hadi wachagga wenzie wanamshangaa
Anawapa sifa mbaya wachagga waonekane walafi.
 
Ni muda muafaka sasa CHADEMA ioneshe ukomavu wa kidemokrasia. Ni wakati sasa wa miamba miwili kuionesha dunia ni namna gani UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAPASWA KUWA.

"kura huamua mashindano, hunyamazishq vinywa vya wakuu" mithali 18:18
Hakuna demokrasia kwenye saccos ya mtu
 
Watu wanasahau mapema uanzishwaji wa vyama vingi ulikua wa kihuni tu
 
Exactly well said.
 
Lengo kuu la Chama chochote cha Siasa ni kushika Dola, lakini chini ya Siasa hizi za Mbowe sioni kabisa, au CHADEMA ya Ayatolah Mbowe inataka kuwa Wapinzani wa Milele?!

Mimi naziona kabisa Frustrations za Lissu.
Chama kipi kingine cha upinzani ndani ya Tanzania chenye lengo la kushika dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…