Ujumbe kutoka kwa wanachama minority wa CHADEMA kwenda kwa mwenyekiti mpya Tundu Lissu

Unazungumzia kipindi cha Prof Jafari na Mzee saidi. Au ushindi wakati wa ukawa. Nikupe tu alert kuwa kuna majimbo bila makubaliano chadema hatoboi. Kinondoni, ubungo, ilala, temeke, mbagala, kigamboni.

Nafikiri unakumbuka majibu ya wenyeji wa Dar ktk mkutano wa kwanza wa chadema na jukwaa sauti ya Watanzania, operasheni okoa Bandari.

Mwitikio wa mkutano ule ulisababishwa operesheni kuhama dar kuelekea sumbawanga, ngorongoro na kuvuna wafuasi wengi. Wenye bandari hawakuwa na uchungu kuliko wale ambao hata bandari hawaijui.

Ndio maana tumeikimbilia chadema kupitia sera ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Ili watu hawa wa milimani tupiganie mambo ya madini munayoyajua. Sio bandari au gesi. Lkn tunashindwa kabla ya muda kwasababu ya umimi, ubinafsi na ego
 
Kwenye kutaka maendeleo na haki hatutazami dini muhimu anaepewa nafasi awe ana uwezo wakuifanya hiyo kazi pasipo kupendelea
 
Boni alikuwa meya wa manispaa ya wapi? Kisarawe? Profesa safari alikuwa makamu mwenyekiti, huyo Mzee Saidi ni nani na alikuwa na impact gani kuinfluence matokeo? Makubaliano CHADEMA afanye na nani? Research ipi iliyioonhesha kuwa majority ya wakazi wa majimho hayo ni waislamu au maamuzi yao ya kisiasa yanakuwa influenced na uislamu? Mmekaa kwa mtoro mnakunywa kahawa mnadanganyana. CHADEMA ni chama cha watanzania, hakina ukanda wala udini. Kajiunge ACT. CHADEMA hakina siasa za udini na ukabila. Huo ni upumbavu
 
CHADEMA haina na haijawahi kuwa na kundi la waislamu minority, hiyo ni theory yenu huko kwa mtoro. CHADEMA ina wanachama watanzania bila kujali dini wala kabila. Na hutoweza kuja kupanda mbegu hiyo ya muislamu minority ndani ya CHADEMA.

Mmeleta chokochoko hizo ndani ya CCM mmeshindwa, unaweza kunieleza hizo sheria kali ambazo CCM imeweka shidivya waislamu?
 
Vizuri kama mwelekeo wako ni CHAUMMA, CHADEMA itakuwa imepunguza mpumbavu mmoja. Hapa ukiulizwa CCM imewafanyaje kwa hiyo miaka 60? Au ilikataa kuwateua kwenye uongozi? Nonsense.
 
Bure kabisa, haihusiani na kushawishi bali kuifahamu value zake za jamii husika. Angalia jinsi ulivyo shallow eti kutaka wafuate utamaduni wa wanachadema na kuacha mila na tamaduni zao?

Mimi sijawahi kukutana na majnun kama wewe, hivi utamaduni wa CHADEMA ni upi kiasi kwamba ni tofauti na mila na hizo tamaduni za kufikirika? Kuna sehemu ambayo CHADEMA ni popular kama Dar es salaam?

Kazi ya demokrasia siyo kulinda dini au tamaduni labda hiyo ni falsafa ya kwa mtoro. Nchi inayolinda dini mojawapo ni Saudi Arabia, je ni nchi inayoongoza kwa demokrasia?
 
Dar es salaam siyo ngome ya waislamu usitudanganye, tumezaliwa, tumesoma, tumekulia na tunazeekea Dar. Huna cha kutudanganya, sehemu mnazoendekeza udini ni Zanzibar labda na lindi
 
Nazungumzia vipi chadema inaweza kuongeza ushawishi ukanda wa pwani.

Kinyume chake chadema wajadili kushika dola wakati ambapo haina uwakilishi kwa watu wa ukanda wa pwani.
Mpka hapo tushapata point za kuikataa pwani znz tanga na dar es salaam wajikite kinda ya kati na kaskazini
 
Nazungumzia vipi chadema inaweza kuongeza ushawishi ukanda wa pwani.

Kinyume chake chadema wajadili kushika dola wakati ambapo haina uwakilishi kwa watu wa ukanda wa pwani.
Sheikh kwani uchaguzi wa chadema ulifanyika kwa misingi ya dini flani? Dini ni imani na kila mtanzania ana imani yake. Kama kweli dini ingekuwa na mchango mkubwa kwenye mustakabali wa maendeleo ya Tanzania basi viongozi wetu wote wasingekuwa na roho za kikatili kiasi cha kufikia kutoa roho za Watanzania wenzao, rejea marehemu Alli Kibao, Ben Saanane, Azroy just to mention a few of them. Dini ya kweli ni "UPENDO" hizo nyingine sijui Christian, Muslims etc. ni projects za walimwengu tu! No wonder hao unawaona ni wa maana sana kwa sababu ya dini zao, wamediriki kufanya mambo mengi sana kama siyo yote kwa kutumia mwamvuli wa dini flani tena wakiwa wamekula kabisa kiapo kwa vitabu vitakatifu vya dini (imani) zao. Nakusihi ujinasue haraka sana kutoka kwenye huo utumwa wa kifikra kwa kuamini kuwa dini inaweza kutoa suluhisho katika maendeleo ya binadamu, rejea mifano ya dini ambazo sasa wameamua wanaume kwa wanaume wafirane na kuoana kabisa huku wanawake kwa wanawake nao wakisagana visimi na kuoana kabisa!
 
Shukran Maalim kwa falsafa yako. Napenda kukuuliza na sihitaji unijibu. Kwann viongazi wa chadema wanapotembelea mikoa ya mwambao huvaa kanzu za kiislam na kofia.?

Au kwanini wakati wa kampeni kuwatumia viongozi wenye ushawishi wa kiislam kama tambara la deki au bulldozer.

Hiki ndicho nimejaribu kuwakumbusha viongozi wetu.

Pili Nasikitika sana neno dini limejazwa sumu na Maccm kiasi kwamba likitamkwa tu laonekana ni udini.

Basi badala ya dini tutumie neno imani.

Kwani dini has nothing to do than imani. Kwa mujibu wa Uislam dini has nothing to do than mfumo wa maisha.

tuje na definition iliyo common kiaa dini ni imani. Tunaelewa kuwa Ujamaa ni Imani. Hivyo kama dini ni imani na Ujamaa ni imani them Ujamaa ni dini.

Ktk katiba yetu tunaambiwa taifa la tz linafata imani (dini) ya Ujamaa.

Nikija ktk tafsiri ya pili kuwa Dini ni mfumo wa maisha. Na kwamba hakuna anaeishi bila ya mfumo wa maisha.

Kwa maana zote mbili ni kwamba hakuna mtu asie na imani. Kwani hata chadema ni imani.

Kwani dini ni imani yako.

Na Ujamaa ni imani.

Na hivyo chadema, na Ujamaa ni dini kwa mujibu wa watu wa mwambao. Hivyo chama kinapaswa kulinda values za imani nyingine ili kikubalike. Kama bado utakuwa na dhana kuwa values zetu tuache pembeni wakati tunapigania mtanzania mwenye imani tofauti. Hii ni sababu nyingine kwann napenda sera ya chadema ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Ambapo kama kanuni ya kidemokrasia ya Majority lead. Tuna hakika sisi tulio majority ukanda wa pwani kupitia sera ya majimbo tutawatawala minority.

Shida iliopo ni kuwa jamii zote 85% ya watu wake ni bendera tu kufata upepo. Vile wale watu wanaowategemea kama wawakilishi na icon zao waliko nao hufata huko. Sasa watakujaje chadema iwapo haina wawakilishi wao. Tunapompendekeza Shekh Ponda apewe nafasi. Pamoja na weledi alonao lkn ana wafuasi wengi ambao wanamfata kokomo aliko. Kuliko viongozi wetu wakati wa uchaguzi kuvaa kanzu na kofia kufananisha na watu wa mwambao au kumtumia shekh Ponda wakati wa kampeni tu kama tambara la deki.
 
Sheikh Issa Ponda ana elimu kiasi gani mpaka awe katibu mkuu wa chama cha siasa.
 
KWAHIYO maalim seif kutokwenda Chadema ndio sababu umuone kuwa alikuwa CCM? Hopeless kabisa
 
CHADEMA ni chama cha wagalatia, waislamu wanajipendekeza tu
 

mkuu waislamu wanaoshabikia CHADEMA wengi wana tatizo la kutokujielewa
 
Katibu wa makanisa ya Wakatoliki ni ndugu yake Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…