MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza kulima ngano lakini wale hawana ardhi ya kulima ngano wanategemea ya Ukraine.
Akaenda mbali zaidi akasema Umoja wenu Africa (AU) uwe na taasisi za Kifedha ambazo zitakopesha nchi zenu ziweze kuvuna rasilimali zenu na sio kubaki kusubiri wawekezaji , ajenda kuu ya mabeberu kuvuna rasilimali za Africa,na tusiweze kuvuna sisi wenyewe wa Afrika
NB: maneno haya yameniuma sana mpaka nimetetemeka.