Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Upendo wako kwa mwendazake ni wa dhati! Ikukupendeza hamia tu kule angels’ republic!
 
Swali la kijinga!!! umeshindwa kujua hata akili za Ndugai wakati Magafuli yupo madarakani na Ndugai wa sasa?
Sasa umeandika nini tena hapo loh, pole yako! Raha ya milele umpe Bwana na mwanga wa milele umuangazie mpendwa shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏! Mwalimu JK Nyerere, naamini amekupokea kwa nderemo na vifijo! Mi
 
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Anzory gwanda
Ben Sanane
Alphonso mawazo
Akwilin akwilin
Kubambikiza watu cases
Kupora korosho za wakulima huko kusini... wale kangomba bado wapo
Kutopandisha watumishi mishahara na maharaja.
Kuminya uhuru wa habar na madini
Wizi wa kura hapo 2019/ 2020.
Legacy anaipatta wapi yule MSHENZI NA KATILI?
note; kumlinganisha magufuli na Nyerere inanyesha ni kwa kiasi gani hata hiyo nyerere we humfahamu.
Katiba iliyopo imetungwa kwa kivuli chake lakini aliiheshimu! Hajawahi kuivunja.
Magufuli kavunja katina mara ngapi???? Unawalinganishaje hawa?
Kamfukue
 
Kwa watoto wa miaka ya tisini watasema hakuna kilichofanyika baada ya Nyerere kitu ambacho si kweli hata kidogo.Zamani enzi za Mwinyi tulikuwa tunagawiwa madaftari,mikebe ,kalamu shuleni je huyo aliyesema elimu bure hayo yalikuwako? Enzi za Mkapa kulizaliwa taasisi mbali mbali ambazo zimeajiri watanzania wengi je kwa awamu ya tano yalitendeka hayo?Enzi za Kikwete miundo mbinu ya kuunganisha mikoa yote nchini ilifanyika kwa 98% je awamu ya tano yametendeka hayo?
Hiyo ni mifano michache kwa kila awamu ambazo washenzi wanasema hazikufanya kazi.Huyu wa mwisho kaleta ukabila,watu wasiojulikana,kafuta vyama vya upinzani,kaleta utumwa,hofu,woga na ubabe hiyo ni legacy nzuri au mbaya?
 
Ujinga kama huu uwe unaongea na mume wako nyumbani ili mkikubaliana mjenge masanamu ka marehemu nyumbani kwenu
 
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mkuu kajipange upya japo hu jirani but wapotea mkuu
 
Anzory gwanda
Ben Sanane
Alphonso mawazo
Akwilin akwilin
Kubambikiza watu cases
Kupora korosho za wakulima huko kusini... wale kangomba bado wapo
Kutopandisha watumishi mishahara na maharaja.
Kuminya uhuru wa habar na madini
Wizi wa kura hapo 2019/ 2020.
Legacy anaipatta wapi yule MSHENZI NA KATILI?
note; kumlinganisha magufuli na Nyerere inanyesha ni kwa kiasi gani hata hiyo nyerere we humfahamu.
Katiba iliyopo imetungwa kwa kivuli chake lakini aliiheshimu! Hajawahi kuivunja.
Magufuli kavunja katina mara ngapi???? Unawalinganishaje hawa?
Kamfukue
Uko sawa mtu wa Mungu.
 
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Bado kumtangaza mtakatifu tu ndio zenu na namna ya kutiana moyo na faraja mara baada ya msiba, wapeleekeeni RC wakamtangaze mtakatifu ndio mtakapoelewa watu mambo yenu na propaganda zenu wanazo wanakula ganzi muda uende tu.

Hizi ndizo tawala zilizoacha majonzi makubwa katika mioyo ya watu kwa kutokutaka kusikiliza watu na kutumia muda mwingi kujisifia na propaganda.
 
kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom