Read my post in betwixt the line.Nyerere should never be put on the same sentence with any president we have had.
He was the greatest black man to have ever lived, he left us with philosophical foundations, principles and so much more that people have not yet come to understand. Some would argue he was close to a saint.
Ni kosa kubwa sana kumtaja mwalimu JK Nyerere kwenye sentence moja tena yenye neno "legacy" na mtu yoyote Afrika. Hata Hayati Mandela hana ubavu huo.
jjjjjyjjjjuķ5Upuusi ni nini na ni lugha gani mwanangu?
Unaelewa maana ya legacy?
FaizaFoxy msaidie huyu mwanachama mwenzako
jkkkkkjj jjjjjjjjjjjj*jjjjjjjj ******Wagalatia mna tabu sana umewajaa udini tu hii nchi akikaa muislam pale juu basi wananchi huku furaha tu. Hatuna habari mambo ya legacy peleka hukoo
Usitulishe mawazo yako nasi tunayo yetu.Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.
Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.
Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.
Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.
Tusidilute mada bana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Tafuta nyingine hii kashfa nilishaizoea
Mimi niliyenukuu na yule aliyetamka,nani kaishiwa hoja!?Umeishiwa hoja umeanza vihoja
Mimi niliyenukuu na yule aliyetamka,nani kaishiwa hoja!?