Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

Tatizo ni kubwa zaidi. CCM kama, chama cha siasa, hakina mvuto kwa wananchi; HAKIUZIKI. Nguvu ya CCM iko kwenye nyenzo na mabavu ya dola. Nje ya serikali CCM inapotea kimoja.

Kinana aweje asiweje; afanye nini asifanye nini hakutakuwa na mabadiliko yoyote. 2025 CCM kama kawaida yao, kwa kutumia nguvu za dola, wanapora uchaguzi na kujitangazia ushindi. Mwisho wa mchezo.
 
Mnataka afanye maigizo? Mnataka misafara ya Toyo, punda na mikokoteni? acheni ujinga.

Yaani wabongo tunapenda sana maigizo, uhalisia hatutaki tunataka maigizo na usanii
Hawa sukuma gang na hizi nyuzi wanaanzisha kimkakati! Wasikusumbue
 
Wee

Wewe hujui kazi za katibu mkuu wewe. Aliyekwambia kazi zake ni kucheza sarakasi mtaani ni nani?
Sarakasi ni maoni yako.

Chama kinahifaji mtu akisimama wananchi wanasogea kusikiliza.

Kinana wanakuja tu viongozi wa CCM na wanafunzi wa shule.

Ukitaka kujua angalia umri na mavazi. Angalia wanafunzi mda wote wako na vibe la kutosha kwa maana wameandaliwa na posho ipo. Angalia utamburisho, wengi ni Makundi ya CCM. Hapo angeweza tu kufanya kikao Cha ndani badala ya jukwaa.

Wananchi hawanamda kabisa na nchimbi baada ya kumpima na kuona hawezi kabisa kuwaongelea matatizo Yao ama kuwatia moyo.

Anatumia mda mwingi kujitamburisha kwa historia yake ya utotoni.

Hajui Siasa.
 
Pengine hujui siasa wewe CHAWA. Mwambie Nchimbi aendelee na mwendo huo huo tu baadaye mapema 2025 urudi kumshutumu!!!

Tatizo unalijua lakini unasumbuliwa tu na chuki dhidi ya Makonda
Nimekuuliza unataka afanyeje? kwa ujinga wako na kichwa kilicho jaaa kamasi unadhania siasa ni lazima kujaza uwanja? Chawa ni wewe uko humu kujadili ujinga
 
Mnataka maigizo au nini? mntaka aanze kufanya sanaaa majukwaani? AU mnataka aagize viongozi wa Serikali watoke offisini waje kuongeza idadi ya magari ya msafara wake kama Makonda?
Makonda hayuko CCM Wala hajawahi kuwa Katibu mkuu. Kwa Nini isimlinganishe na mtu aliyeko pita kwenye hicho kiti??

Kila kitu Makonda, alikufannyia Nini? Huyo mlinganishe na Makala.

Nchimbi hajui Siasa ya kwenye Majukwaa. Period.
 
Hao ndiyo top-down leaders (Anajiangalia yeye na wanaomzunguka. Akisifiwa tu na Jk na Kinana anahisi amefiti kwenye uongozi na kusahau kero za wananchi)

Tunahitaji down-top na ndiyo mfumo mzuri wa utawala sehemu yeyote.
 
Nimekuuliza unataka afanyeje? kwa ujinga wako na kichwa kilicho jaaa kamasi unadhania siasa ni lazima kujaza uwanja? Chawa ni wewe uko humu kujadili ujinga
Huyo jamaa anadhani kila mtu lazima afaye siasa za sarakasi kama za makonda, ndio maana amekomaa kwelikweli
 
Back
Top Bottom