Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Tatizo ni kubwa zaidi. CCM kama, chama cha siasa, hakina mvuto kwa wananchi; HAKIUZIKI. Nguvu ya CCM iko kwenye nyenzo na mabavu ya dola. Nje ya serikali CCM inapotea kimoja.
Kinana aweje asiweje; afanye nini asifanye nini hakutakuwa na mabadiliko yoyote. 2025 CCM kama kawaida yao, kwa kutumia nguvu za dola, wanapora uchaguzi na kujitangazia ushindi. Mwisho wa mchezo.