Hawa sukuma gang na hizi nyuzi wanaanzisha kimkakati! WasikusumbueMnataka afanye maigizo? Mnataka misafara ya Toyo, punda na mikokoteni? acheni ujinga.
Yaani wabongo tunapenda sana maigizo, uhalisia hatutaki tunataka maigizo na usanii
Sarakasi ni maoni yako.Wee
Wewe hujui kazi za katibu mkuu wewe. Aliyekwambia kazi zake ni kucheza sarakasi mtaani ni nani?
Nimekuuliza unataka afanyeje? kwa ujinga wako na kichwa kilicho jaaa kamasi unadhania siasa ni lazima kujaza uwanja? Chawa ni wewe uko humu kujadili ujingaPengine hujui siasa wewe CHAWA. Mwambie Nchimbi aendelee na mwendo huo huo tu baadaye mapema 2025 urudi kumshutumu!!!
Tatizo unalijua lakini unasumbuliwa tu na chuki dhidi ya Makonda
Makonda hayuko CCM Wala hajawahi kuwa Katibu mkuu. Kwa Nini isimlinganishe na mtu aliyeko pita kwenye hicho kiti??Mnataka maigizo au nini? mntaka aanze kufanya sanaaa majukwaani? AU mnataka aagize viongozi wa Serikali watoke offisini waje kuongeza idadi ya magari ya msafara wake kama Makonda?
Huyo jamaa anadhani kila mtu lazima afaye siasa za sarakasi kama za makonda, ndio maana amekomaa kwelikweliNimekuuliza unataka afanyeje? kwa ujinga wako na kichwa kilicho jaaa kamasi unadhania siasa ni lazima kujaza uwanja? Chawa ni wewe uko humu kujadili ujinga