Ujumbe kwa Hajar

Hakuna mtu asiyeogopa kombora bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkishaambiwa "baby nikwambie kitu"
Kichwa kinaanza kuuma gafla,kama alikupigia utajifanya network imekata na humsikii kabisa,kama ni meseji utauchuna,utazima simu,utatoa betri na laini kabsa,huku mapigo ya moyo yakiwa yamepoteza muelekeo[emoji23]

Makombora hayajawahi acha mtu salama kwa kweli
 
Nirahisi sana mkuu kujiwekea ulinzi nabado akaaminika namtu wake kama kawaida.

Nakwakua Hajar anajiamin kua ana mtu wake , haikua na haja yoyote ya yeye kumuunguza jamaa maini namoyooo , ujue sisi watu wazima na tunahishiwa kiutu uzima .


Unless km ni ID ngeni sawa kidogo kuna mashaka.
 
Hahahaaa. Pole sana my dear Bro kwa kuumiza kichwa kuanza kujibu.

Mie napita tu aiseee. Sababu ukianza kufikiria kila kinachoandikwa lol unaweza pasuka kichwa.
 
Jamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.
Halaf una mfuata PM unamuaibisha shetani huko kimya kimya then una move on.

Mi nikikataliwa live ntawaomba mods waufute uzi.
Hapo kwenye kufuta uzi,mods wako bize hahaha na uzi wako unazid kutembea hihihihiiiii kama nakuona mikono inavotoka jasho[emoji23]
Basi kumbe ushauri wa kutiwa moyo hadharan na kumuabisha shetani pm ndo mzuri
 
Jolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.

Sasa hapa Hajar yeye ndo amekaa upande wa faida ...ndugu yangu Mikononyuma amejishika mikono nyuma kwelikwelu
Tusiwahukumu...tuwape natural justice.
Leo wakirespond positively kwa kila mtu, kesho muwafungulie nyuzi za kuwakashifu?


Mtazamo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnazuia mizinga inayojileta yenyewe bila kuitafuta mjue
Ha ha ha ha ha brother umeuaaaa.
 
Hapo kwenye kufuta uzi,mods wako bize hahaha na uzi wako unazid kutembea hihihihiiiii kama nakuona mikono inavotoka jasho[emoji23]
Basi kumbe ushauri wa kutiwa moyo hadharan na kumuabisha shetani pm ndo mzuri
Asee mi sishindwi nikiona mods wanazingua, hapo naweza hata ku uedit uzi nandika mambo ya JPM .
Siwez kosa solutuon hapo.[emoji23]

Eeh jaman hata efforts za kufungua uzi ziangaliwe kabla ya kutumwaga hadharani.
 
Tatizo bado liko pale pale....tuwape natural justice hawa dada zetu,wake zetu,wapenzi wetu n.k. ili waweze kujitetea.
 
Nakuambia ivi kama hana ID zaidi yahii ,utaona vinyuzi vitakavyofuata.

Mtu atauliza. ..** Aina gan ya kilimo cha maembe naweza vuna ndan ya miezi mitatu??[emoji23][emoji23]
Ahahahahaha waaaaai hahaha nimecheka hatari sana hahaha kwamba "Ni aina gani ya kilimi cha maembe naweza vuna ndani ya miezi mitatu[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] ushaur wako ni kwamba wawe wanawatia moyo waleta uzi si et?
Kuna kaanjia ka kamoja tu yaaan kanaitwa " katisha tamaa huku ukimlindia utu machon kwawatu".

Ivi Jolie ,lets tali serious ,uyu bwana tuseme labda nikweli kabisaaaa alikua amempenda huyu mwanadada ,,,unahisi saizi anajisikiaje ??? Na nimbele zawatu??

Wenda kwakuhisi kujibiwa ivo ndomaana amekuja na ID hiyo....nan anajua??? .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…