mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
- Thread starter
-
- #341
Mumu kuwa na huruma basi wewe ni mtoto wa kike. mineno iyoo ata ya faraja hunaHaahha kavaa kinyago huyo shogaangu,.watu wana hatarii
Mmmmh !!Hahaha. Itakuwa ana kazi labda sababu kwa alichoandika alikuwa tayari kwa majibu yote mawili kama ndio au hapana.
Hivyo hawezi kimbia. Teh.
Nimechinjiwa beachzimefikaa
Hajar Hajar Hajar ndio mwimbo nitakao kesha naoNa yale makufuli ya PM basi akaona cha kufia nini, na jambo rohoni hivyo bora afunguke tu. Hahahaaa.
MshengaaaaDuuuh.
Haya bhn
UnasemaaaPas ya kumfikia unayo wewe?
Mkuu mbona unasalimia sanaNakusalimu kwa Mara ya pili
Sio kidogoNgumu kumeza...[emoji23]
Mkuu mbona unashadadia sanaWell said...umtakie safari njema.
Acha tu!!!Beautiful hajar
MmmmhHahahaaa. Uzuri inakuwaga ni kweli tumewahiwa.
Pia niseme hakuna mwanamke asiyependa hii kitu hasa ile inayojileta yenyewe. [emoji12] Yaani ningekuwa sina mtu ningeshamzukia huko PM tuyajenge ili nipate ndoa Hajar wa watu. Lol
Asante kwa faraja mkuuHaya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa
"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""
Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].
Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijibiwi kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie
Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.
Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.
Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]
" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .
Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.
Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
UmefurahiaaaaaaaaNdo namm nmecheka sana jolie ..... Utajibiwa
***Heheheheheh jooooomon my kaka thank youuuu kwa kuniloooooove ila nmeshawahiwaaaaaaaa utampata zaidi yamm***
Joliee inauma ujueee ,alafu kukataliwa mbele ya watu huhuhuhj[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli?lakini mimi nilitaka wakuoaJolie humu ndan watu wananjunjana sanaaaa tu ila nikimya kimyaaaa PM ukoo.
HahahahaHahahaahahaaaaa
Uzuri mtu akiquote, uzi unabaki kwenye quote ya mtu hata wewe uufute tutauona kwenye quote.
Hatari mkuu , ata sijui naelekea wapi toka ngaramtoni kwa miguu mikono nyuma kama jina langu . nikama nimefika katikati ya chekereni na Mandela universityJolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.
Sasa hapa Hajar yeye ndo amekaa upande wa faida ...ndugu yangu Mikononyuma amejishika mikono nyuma kwelikwelu
Wakifuta nitasahau mkuu acha iwe kumbukumbu tu kwa kweliJamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.
Halaf una mfuata PM unamuaibisha shetani huko kimya kimya then una move on.
Mi nikikataliwa live ntawaomba mods waufute uzi.
HahahaWakifuta nitasahau mkuu acha iwe kumbukumbu tu kwa kweli
Kwa kweliHahaha
Umekubali hansard irekodu tuu eeh
Si mbaya ukifeli mpango mmoja unafanya mpango mwingineKwa kweli