Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa

"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""

Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].

Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijibiwi kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie

Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.

Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.

Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]

" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .

Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.


Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
Asante kwa faraja mkuu
 
Jolie ,laiti ukijua athar ya Dissapointment unayopewa mbele za watu usingesema hivo.

Sasa hapa Hajar yeye ndo amekaa upande wa faida ...ndugu yangu Mikononyuma amejishika mikono nyuma kwelikwelu
Hatari mkuu , ata sijui naelekea wapi toka ngaramtoni kwa miguu mikono nyuma kama jina langu . nikama nimefika katikati ya chekereni na Mandela university
 
Back
Top Bottom