[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolHajar Hajar Hajar ndio mwimbo nitakao kesha nao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mshenga DuuhNaaam
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mumu kuwa na huruma basi wewe ni mtoto wa kike. mineno iyoo ata ya faraja huna
hahah poleNilikuwa najiandaa kisaikolijia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mshenga Duuh
Hahahaaa. Wenyewe wanasema pole hatakiwi kupewa huku. [emoji12] [emoji12] [emoji12]hahah pole
Nnalo basi. Nimejikuta tu nakutaja Mshenga.Nambie mwali
haha tutamualika mahali bas kumekucha dadaHahahaaa. Wenyewe wanasema pole hatakiwi kupewa huku. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sasa inabidi tupange mahari.Nnalo basi. Nimejikuta tu nakutaja Mshenga.
Niaje aisee?
Kumekucha mdogo wangu. Sijui huko kwema?haha tutamualika mahali bas kumekucha dada
Hahahaaa. Kwenda kwa mikononyuma? [emoji85] [emoji85]Sasa inabidi tupange mahari.
Au unataka tukupeleke bureee?
mie alihamdulillahKumekucha mdogo wangu. Sijui huko kwema?
Hahahaaa. Kwenda kwa mikononyuma? [emoji85] [emoji85]
Hahahaaa. Duuh.Ndo hivyo. Au hutaki?
Nije kukamilisha yangu Kama mshenga?
Ni mie ndiye niliyeadimika,nimeadimika kiasi kwamba niliporudi nimekuta mabadiliko.Salama kabisa rafiki. Ni wewe umeadimika au mie? [emoji12]
Sawa rafiki nafurahi kukuona tena nina imani umerudi salama kabisa.Ni mie ndiye niliyeadimika,nimeadimika kiasi kwamba niliporudi nimekuta mabadiliko.
Mpaka kuja kukujua haikuwa kazi ndogo ila nashukuru nimefanikiwa kukupata.
Nashukuru sana,mimi nipo salama kabisa na namshukuru Mungu kwa neema zake.Sawa rafiki nafurahi kukuona tena nina imani umerudi salama kabisa.
Hahahaaa. Pole kwa yote sababu sio kwa kunitafuta kiasi hicho.
Kwema lakini?
mikononyuma Akishindwa kutimiza masharti naomba nichukue nafasi yake kumpata Hajar pls!😀😀mwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
Mie pia sijambo kabisa yaani.Nashukuru sana,mimi nipo salama kabisa na namshukuru Mungu kwa neema zake.
Hofu kwako shoga'ake mie loh.
Niliokotwa saa 11alfajiri na patrol ya polisi .fahamu zimenirudia saa hii , eti ulisema umewahiwa vile?Hahahaa. Unaelekea wapi mikononyuma?