Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Sawa rafiki nafurahi kukuona tena nina imani umerudi salama kabisa.

Hahahaaa. Pole kwa yote sababu sio kwa kunitafuta kiasi hicho.

Kwema lakini?
Nashukuru sana,mimi nipo salama kabisa na namshukuru Mungu kwa neema zake.
Hofu kwako shoga'ake mie loh.
 
Back
Top Bottom