Ujumbe kwa Hajar

Anaweza eeeeeh
Si umemcheki mwenyewe Mrembo Demis, kuna nyepesinyepesi nilizisikia eti baada ya Mshana kufanya yake dada alitoka usiku wa manane anatafuta usafiri wa kumpeleka Msata kwa Mshana! Saivi ndo kama unavyosikia tena yaani hasikii haelewi kwa yule jamaa. Ila ukikosea masharti nasikia vinageuka, demu atakuchukia ile mbaya yaani waeza kumsalimia tu Hajar ukaoga vichambo vya kufa mtu
 
Wote wanapotezwa kama binti yupo serious.
 
Hahahahaahaaaaa

Watu hawachezei fursa aisee
 
Hahahahahahahahaaaaaa

Couple ya mshana na Dwmiss imeteka majukwaa ya MMU na Chit-Chat takribani mwezi mzima sasa na inaendelea kuimarika kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…