mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
- Thread starter
- #401
Wamenambia walinikuta naimba Hajar Hajar .........sijui wao walijua ni mwimbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenambia walinikuta naimba Hajar Hajar .........sijui wao walijua ni mwimbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Kwa kweliHahahaaa. Wenyewe wanasema pole hatakiwi kupewa huku. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
NaamHahahaaa. Kwenda kwa mikononyuma? [emoji85] [emoji85]
Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge.Mie pia sijambo kabisa yaani.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole sana mikononyuma.Niliokotwa saa 11alfajiri na patrol ya polisi .fahamu zimenirudia saa hii , eti ulisema umewahiwa vile?
Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.Naona kijana kapendezwa na jimbo anautaka ubunge.
Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole sana mikononyuma.
Sijui ulikuwaga wapi na wewe siku zote hizo. Teh teh.
Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo.Hahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.
Jirani pilau liniHahahaaa. Tena jina la mwenye jimbo bado jipya sijui kalifuatilia vp hadi akamjua Hajar.
Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma.Acha tu unajua kumuombea mtu kifo ni zambi !!!lakini nahisi shetani ananijaribu eti natamani uanze eda ukimaliza tu niwahi
Hahahaaa. Tusubiri Pasaka iishe jirani. [emoji85]Jirani pilau lini
Hahahaaa. Na kweli aisee.Tunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo.
Kweli ashindweDuuh! Hii yako kali ujue mikononyuma.
Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
Mwifwa ama teh teh tehDuuh! Hii yako kali ujue mikononyuma.
Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
Haya [emoji4]Hahahaa. Haya bana Swahiba
Kumbe jimbo lilikuwa huru...!Hahahaaa. Tusubiri Pasaka iishe jirani. [emoji85]
Duuh! Jamaani jirani. [emoji85] [emoji85]Kumbe jimbo lilikuwa huru...!