Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Yaani watu badala ya kukasirika walikua wanacheka tu kwa hicho kituko na jinsi alivokua anajiteteaHahaaa! Huyo mshenga ni balaaa. Duuh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu badala ya kukasirika walikua wanacheka tu kwa hicho kituko na jinsi alivokua anajiteteaHahaaa! Huyo mshenga ni balaaa. Duuh.
Hapo mwenyewe unatamani uwe rafiki wa MshanaJR akupe ndele ya kupendwapendwaZakazaka ni noma mkuu
Anaweza eeeeehHapo mwenyewe unatamani uwe rafiki wa MshanaJR akupe ndele ya kupendwapendwa
Si umemcheki mwenyewe Mrembo Demis, kuna nyepesinyepesi nilizisikia eti baada ya Mshana kufanya yake dada alitoka usiku wa manane anatafuta usafiri wa kumpeleka Msata kwa Mshana! Saivi ndo kama unavyosikia tena yaani hasikii haelewi kwa yule jamaa. Ila ukikosea masharti nasikia vinageuka, demu atakuchukia ile mbaya yaani waeza kumsalimia tu Hajar ukaoga vichambo vya kufa mtuAnaweza eeeeeh
Hahahaaaa.Yaani watu badala ya kukasirika walikua wanacheka tu kwa hicho kituko na jinsi alivokua anajitetea
Unawapotezea wote.Hahaaa! Huyo mshenga ni balaaa. Duuh.
Wote wanapotezwa kama binti yupo serious.Ila washenga wa Dar hua hawaaminiki aisee, kuna mmoja aliwahi kupewa ushenga si akajifanyia ushenga mwenyewe! Kwa bahati(utachagua mwenyewe hapo kama ni nzuri au mbaya) mchumba akashtuka na akawapiga chini wote akawaona wahuni, nikimkumbuka yule jamaa mshenga msambaa na lafudhi yake ilivokua akiongea hua nacheka peke yangu
Ndivyo binti alivofanya aliwachinjia baharini wote wawili ila mshenga watu walimlaumu kwa kufanya uhuni huo na kumuharibia mwenzake, kosa alilofanya mtangaza nia alichagua mshenga bachelaWote wanapotezwa kama binti yupo serious.
Aisee. Yaani na hayo ndio yanakuwa maamuzi sahihi.Unawapotezea wote.
Ukimchunguza bata hutomlaTunatofautiana sana,wengine huchuguza kwanza kisha tunachukua hatua ila yeye kachukua hatua kwanza, nafikiri atachunguziamo mumo kwa mumo.
Duuh! Hii yako kali ujue mikononyuma.
Inabidi umkemee huyo shetani kwa kweli. Sababu inaweza kutokea hivyo na bado ukajikuta mwisho wa siku unamkosa Hajar halafu wakawahi wengine. Teh teh
HahahahahahahaaaaaaaaMwifwa ama teh teh teh
Ndiyo maana jana nilishauri bora mabinti wapewe natural justice ili wamwage mboga hadharani.Kama YES au NO.Aisee. Yaani na hayo ndio yanakuwa maamuzi sahihi.
Pamoja sana mkuuHa ha ha ahsante mkuu Mwifa.
Kweli mkuu natakiwa nikomae hadi kielewekeUnakomaa tu mkuu Mwifwa.
Ok, next time ubonyeze kitufe cha kuedit na ueditSorry: it's Mwifwa.
HahahahaahaaaaaIla washenga wa Dar hua hawaaminiki aisee, kuna mmoja aliwahi kupewa ushenga si akajifanyia ushenga mwenyewe! Kwa bahati(utachagua mwenyewe hapo kama ni nzuri au mbaya) mchumba akashtuka na akawapiga chini wote akawaona wahuni, nikimkumbuka yule jamaa mshenga msambaa na lafudhi yake ilivokua akiongea hua nacheka peke yangu
HahahahahahahahaaaaaaSi umemcheki mwenyewe Mrembo Demis, kuna nyepesinyepesi nilizisikia eti baada ya Mshana kufanya yake dada alitoka usiku wa manane anatafuta usafiri wa kumpeleka Msata kwa Mshana! Saivi ndo kama unavyosikia tena yaani hasikii haelewi kwa yule jamaa. Ila ukikosea masharti nasikia vinageuka, demu atakuchukia ile mbaya yaani waeza kumsalimia tu Hajar ukaoga vichambo vya kufa mtu
Hahaha. Pole sana mdogo wangu.Hahahahahahahaaaaaaaa
Nyie watu mmevunja mbavu zangu hapa
Ahsante Dada yangu naona ushauri wangu umezaa matunda.Hahaha. Pole sana mdogo wangu.
hahaha mbon mmechelewa sasa tumeshamlia ubwabwa hajar mjue