Tunataka Katiba mpya ya nchi, ambayo itapunguza madaraka makubwa mno ya Rais aliyopo madarakani, mithili ya mungu-mtu!wabongo tunataka Rais wa aina gani? anaesikiliza au asiesikiliza? tusifungane midomo tupige kura tujuane!!
"Kutekeleza Kila ushauri anaopewa" Ndivyo alivyosema Prof?Mwanakijiji hajapinga katiba mpya ,muwe mnasoma na kuelewa,yeye anapingana na maoni ya professor Assad,ya kutaka kulazimisha mkuu wa nchi asikilize na kutetekeleza kila ushauri anaopewa.
Ndio maana mwanakijiji akasema hata katiba mpya ikija haitamlazimisha rais kufuata ushauri wa kila mtu.
Someni muelewe kwanza kabla ya kujibu hoja ya mleta mada
Rais kuwa msikivu ni kupitia mamlaka za kikatiba zilizowekwa kumshauri kama Bunge.Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa watu ambao amejionesha kukerwa mno na jinsi Magufuli alikuwa; hasikilizi, hapigwi maneno ya wataalam, na watendaji wenye maneno ya kitalaamu. Inawezekana siyo yeye tu bali wapo wengine ambao nao walikuwa wanakerwa kuwa Magufuli "hasikilizi". Na tunawaona wengine ambao nao wanafikia mahali pa kusema "Magufuli hakufanya lolote".
Sasa, wanataka tuwe na Rais ambaye anapewa ushauri na kila mtu na anatakiwa kusikiliza kila ushauri kwani asipousikiliza au kuukubali basi anakuwa "haambiliki". Inanikumbusha maneno yaliyosemwa wakati wa Nyerere; aliitwa pia "Haambiliki". Ati Magufuli alikuwa anawakera kwa sababu walitaka awasikilize na asiwaulize; akubali bila maswali! Sasa inawezekana wanaona Rais Samia ni wa kuambiwa kila kitu; kwamba wanampa mashauri ya kila namna na anaonekana anayafuata. Inawezekana wanaona kuwa Rais Samia anawakubalia kila mashauri hata ambayo matokeo yake siyo mazuri. WAnachofurahia ni kuwa wamelipata "sikio la mama".
Ndio maana tunaweza kuona wanashindana kukandia awamu ya tano (ambayo wao walikuwemo). Inaonekana kabisa kuwa ili mama akupe sikio inabidi umpapase kwa maneno mazuri ya kumkandia mtangulizi wake. Magufuli hakujenga kiwanda hata kimoja, uwekezaji ulipungua, maisha yalikuwa Magumu, watalii walikimbia, uchumi ulidorora... wanasema na kusema ili waseme "ila sasa awamu ya sita" mambo yamekavaa vizuri! Wanajaribu kutenda kana kwamba Rais Samia alishinda uchaguzi mahali bila ya Magufuli! Lakini hawa wanaotaka Rais anayesikiliza kila ushauri inabidi tuwakatae.
Tunawapinga na kuwakataa kwa sababu wanataka kumchukua Rais kuwa mateka wa fikra zao na mashauri yao. Watamshauri akikataa wataanza kusema "Rais hatusikilizi tena". Ukweli ni kuwa Rais - hata ije Katiba Haramu Mpya - hatakiwi kukubali ushauri wa kila mtu, hata kama ni maprofesa kama Assad. Anatakiwa kusikiliza na kuuliza; hatakiwi kukubali bila maswali! Na ni hatari zaidi kumtaka Rais awafurahishe kwa kuwa karibu na watu wenye kumsifia na kumwambia mambo mazuri.
Profesa Assad na watu wenye fikra kama zake hawamtakii mema Rais, wanamtega, na wanajaribu kumfanya awe Rais wa picha!
Hili tunawakatalia; waache ufyatu!
MMM
Mzee Mwanakijiji hakika kinachoendelea Tanzania ni kama tupo kwenye ndoto. Tulijinyambulisha na kujivunia tulipo kuwa na rais mwenye uthubutu kama Dkt Magufuli, ila sasa tumerudi kuwa wanyonge wenye msongo wa mawazo hata hatujui nini kimelikumba taifa letu hasa ukifikiria aliyefariki ktk level za rais, makamu wa rais na waziri Mkuu ni mtu mmoja tu na wengine wawili na baraza lote wapo. Yaani tunaona kabisa kuna coordinated efforts ambazo zinaonekana zipo organized na serikali ya Mama Samia na zina baraka za taasisi husika.Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa watu ambao amejionesha kukerwa mno na jinsi Magufuli alikuwa; hasikilizi, hapigwi maneno ya wataalam, na watendaji wenye maneno ya kitalaamu. Inawezekana siyo yeye tu bali wapo wengine ambao nao walikuwa wanakerwa kuwa Magufuli "hasikilizi". Na tunawaona wengine ambao nao wanafikia mahali pa kusema "Magufuli hakufanya lolote".
Sasa, wanataka tuwe na Rais ambaye anapewa ushauri na kila mtu na anatakiwa kusikiliza kila ushauri kwani asipousikiliza au kuukubali basi anakuwa "haambiliki". Inanikumbusha maneno yaliyosemwa wakati wa Nyerere; aliitwa pia "Haambiliki". Ati Magufuli alikuwa anawakera kwa sababu walitaka awasikilize na asiwaulize; akubali bila maswali! Sasa inawezekana wanaona Rais Samia ni wa kuambiwa kila kitu; kwamba wanampa mashauri ya kila namna na anaonekana anayafuata. Inawezekana wanaona kuwa Rais Samia anawakubalia kila mashauri hata ambayo matokeo yake siyo mazuri. WAnachofurahia ni kuwa wamelipata "sikio la mama".
Ndio maana tunaweza kuona wanashindana kukandia awamu ya tano (ambayo wao walikuwemo). Inaonekana kabisa kuwa ili mama akupe sikio inabidi umpapase kwa maneno mazuri ya kumkandia mtangulizi wake. Magufuli hakujenga kiwanda hata kimoja, uwekezaji ulipungua, maisha yalikuwa Magumu, watalii walikimbia, uchumi ulidorora... wanasema na kusema ili waseme "ila sasa awamu ya sita" mambo yamekavaa vizuri! Wanajaribu kutenda kana kwamba Rais Samia alishinda uchaguzi mahali bila ya Magufuli! Lakini hawa wanaotaka Rais anayesikiliza kila ushauri inabidi tuwakatae.
Tunawapinga na kuwakataa kwa sababu wanataka kumchukua Rais kuwa mateka wa fikra zao na mashauri yao. Watamshauri akikataa wataanza kusema "Rais hatusikilizi tena". Ukweli ni kuwa Rais - hata ije Katiba Haramu Mpya - hatakiwi kukubali ushauri wa kila mtu, hata kama ni maprofesa kama Assad. Anatakiwa kusikiliza na kuuliza; hatakiwi kukubali bila maswali! Na ni hatari zaidi kumtaka Rais awafurahishe kwa kuwa karibu na watu wenye kumsifia na kumwambia mambo mazuri.
Profesa Assad na watu wenye fikra kama zake hawamtakii mema Rais, wanamtega, na wanajaribu kumfanya awe Rais wa picha!
Hili tunawakatalia; waache ufyatu!
MMM
Watu wake ni kina nani?Rais ambaye hasikilizi watu wake nae hatumtaki.tumejionea miaka mitano ya tabu na mateso kama siyo Mungu kuingilia kati hali ingekua mbaya sana muda huu.
Tunataka Rais atakayesikiliza lakini halazimiki kufuata kila ushauri atakaopewa na MTU au kikundi chochote isipokuwa kama yeye na washauri wake wakiona upo ushauri mzuri aliopewa Rais ambao unatakiwa kufanyiwa kazi !! Lazima tukubali kwamba URais ni taasisi ambayo ndani yake inao washauri wa kila fani na wanalipwa kwa kazi zao hizo !!wabongo tunataka Rais wa aina gani? anaesikiliza au asiesikiliza? tusifungane midomo tupige kura tujuane!!
Kati ya Prof Assad na wewe Mzee Mwanakijiji naona wewe ndiyo IMEFYATUKA vibaya. Hivi kweli unathubu kuunga mkono maamuzi ya KIIMLA yaliyofanywa na Magufuli kama Jeshi kuingia biashara ya korosho, kuwabomolea nyumba wakazi wa Kimara-Kinamba bila fidia, kujenga uwanja wa 3km runway kijijini kwake Chato, kukataa kutunza takwimu za COVID-19 na kuwapima Watanzania.Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa watu ambao amejionesha kukerwa mno na jinsi Magufuli alikuwa; hasikilizi, hapigwi maneno ya wataalam, na watendaji wenye maneno ya kitalaamu. Inawezekana siyo yeye tu bali wapo wengine ambao nao walikuwa wanakerwa kuwa Magufuli "hasikilizi". Na tunawaona wengine ambao nao wanafikia mahali pa kusema "Magufuli hakufanya lolote".
Sasa, wanataka tuwe na Rais ambaye anapewa ushauri na kila mtu na anatakiwa kusikiliza kila ushauri kwani asipousikiliza au kuukubali basi anakuwa "haambiliki". Inanikumbusha maneno yaliyosemwa wakati wa Nyerere; aliitwa pia "Haambiliki". Ati Magufuli alikuwa anawakera kwa sababu walitaka awasikilize na asiwaulize; akubali bila maswali! Sasa inawezekana wanaona Rais Samia ni wa kuambiwa kila kitu; kwamba wanampa mashauri ya kila namna na anaonekana anayafuata. Inawezekana wanaona kuwa Rais Samia anawakubalia kila mashauri hata ambayo matokeo yake siyo mazuri. WAnachofurahia ni kuwa wamelipata "sikio la mama".
Ndio maana tunaweza kuona wanashindana kukandia awamu ya tano (ambayo wao walikuwemo). Inaonekana kabisa kuwa ili mama akupe sikio inabidi umpapase kwa maneno mazuri ya kumkandia mtangulizi wake. Magufuli hakujenga kiwanda hata kimoja, uwekezaji ulipungua, maisha yalikuwa Magumu, watalii walikimbia, uchumi ulidorora... wanasema na kusema ili waseme "ila sasa awamu ya sita" mambo yamekavaa vizuri! Wanajaribu kutenda kana kwamba Rais Samia alishinda uchaguzi mahali bila ya Magufuli! Lakini hawa wanaotaka Rais anayesikiliza kila ushauri inabidi tuwakatae.
Tunawapinga na kuwakataa kwa sababu wanataka kumchukua Rais kuwa mateka wa fikra zao na mashauri yao. Watamshauri akikataa wataanza kusema "Rais hatusikilizi tena". Ukweli ni kuwa Rais - hata ije Katiba Haramu Mpya - hatakiwi kukubali ushauri wa kila mtu, hata kama ni maprofesa kama Assad. Anatakiwa kusikiliza na kuuliza; hatakiwi kukubali bila maswali! Na ni hatari zaidi kumtaka Rais awafurahishe kwa kuwa karibu na watu wenye kumsifia na kumwambia mambo mazuri.
Profesa Assad na watu wenye fikra kama zake hawamtakii mema Rais, wanamtega, na wanajaribu kumfanya awe Rais wa picha!
Hili tunawakatalia; waache ufyatu!
MMM
Ukiona kiongozi anataka kumsikiliza kila mtu basi atakuwa mwehu hata miluzi mingi inampoteza mbwa.Rais ambaye hasikilizi watu wake nae hatumtaki.tumejionea miaka mitano ya tabu na mateso kama siyo Mungu kuingilia kati hali ingekua mbaya sana muda huu.
Kwa hiyo kwa vile watalaamu wanashauri asiende kinyume nao?Raisi anapaswa kusikiliza wataalamu kisha apime na kufanya maamuzi. Atawajibika kwa maamuzi yake ikiwa ataenda kinyume na ushauri wa kitaalamu kwa mujibu wa sheria.
Hata huo ushauri anaopewa Rais na wataam ni lazima uendane na misingi ya sheria na katiba! Mfano mzuri wa ushauri ambao Magufuli angetakiwa kupewa ni kwamba alikuwa anakiuka taratibu kutumia pesa kwa miradi ya utashi wake bila idhini ya bunge! Kama Bunge ingekuwa taasisi imara kitendo cha kukiuka ushauri huo kingempelekea bunge kumchukulia hatua ya impeachment!Kwamba Assad na wengineo wakisema kuwa Magufuli alikuwa hasikilizi maneno ya wataalamu, haimaanishi kuwa "Sasa, wanataka tuwe na Rais ambaye anapewa ushauri na kila mtu na anatakiwa kusikiliza kila ushauri kwani asipousikiliza au kuukubali basi anakuwa "haambiliki". "
Kuna wataalamu hapa Tanzania? Wangekuwepo yaliyokuwa yanafanyika awamu ya nne walikuwa hawaoni hadi taifa likafika hapo lilipofikia..kila mtu anataka kuiba hata vitu vyake mwenyewe..nchi hii haina wataalam imejaa wajinga tu, waliojaza elimu ya makaratasi kichwani..maarifa zero! wanachoweza sana ni kulamba viatu na kusifia sifia hata yasiyohitaji kusifiwa!Kwa hiyo kwa vile watalaamu wanashauri asiende kinyume nao?