Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

Well [emoji736] 100% Right .

Tunataka watu wakweli wa namna yako Mwanakijiji
 
Hoja zako zingekuwa na nguvu na maana Sana Kama usingeingiza ukabila na udini
Huwezi kushutumu kabila zima au dini Fulani kwa sababu ya watu wachache tu waliofanya makosa
Hii tabia lazima tuikatae kwa nguvu zote
Kuna watu wanataka kuchafua sura ya kabila zima kwa ajili ya makosa ya watu wachache
Moja ya Mambo mkiti na viongozi Upinzani walipaswa kuyakemea na kujitenga nayo ni Hilo
 
Wana roho mbaya ! Pamoja na baadhi ya viongozi wao ambao wao wanachokifikiria zaidi ni kujilimbikizia mimali na hawatosheki na vyote walivyokwisha kuvisunda !! Utadhani wataishi milele !!!
 
Labda hakukusikiliza wewe lakini J.P.M Alikuwa anatembea kila mahali kuzikiliza watu wake ambao ndo walimchagua nae huyu wa sasa kutwa anazunguka ulaya na kwa matajiri maana ndo anaamini watamulinda katka urahisi wake
Nyie wafuasi wa marehemu jiwe wengi wenu hamjielewi
 
Siku Rais Samia alianza kuwakatalia na kujipambanua kuwa kufuata "wasomi" na "watalaamu" ni mtego mbaya Afrika watamrarua. Hivi Tanzania haikuwa na wasomi wakati wa Mkapa na Kikwete? Kwani tuna upungufu wa warsha na kongamano za wasomi? Au mmeshasahau MKURABITA, MKUKUTA NA MIKULAKULA?
 
M

Magufuli alikuwa kichaa kabisa na kama vichaa wengine walivyo huwa hawajitambui kuwa na tatizo na hujiona wana akili kuliko watu wote na hawatakagi ushauri. Mwenye akili timamu hupokea ushauri na kuichambua na kufanya maamuzi
Kwani kabla ya kichaa Magufuli si nchi ilikuwa inaongozwa na watu timamu?
 
Tatizo tumegeuza siasa ajira yenye maslahi mazuri yaani siasa imegeuka biashara inayolipa.

Na wasomi wameamua kujitoa ufahamu ili na wao wanufaike, tumechagua njia ngumu mno, wa kulaumiwa ni Ccm.
 
Genius!
 
Samia ndo kadhihirsha kabisa anacontrol bunge kwa kukosolewa na Ndugai na kuamua kumtoa uspika!
 
Samia ndo kadhihirsha kabisa anacontrol bunge kwa kukosolewa na Ndugai na kuamua kumtoa uspika!
Ile ilikuwa habari ingine kabisa.
Power struggle.
Siyo siri Ndugai alikuwa nyuma ya kundi lililotaka kuchukua madaraka baada tu ya kifo cha mwendazake.
Ndugai kwa cheo chake alifikiri anaweza kufanya lolote kama mhimili.
Aliula wa chuya.
 
Samia ndo kadhihirsha kabisa anacontrol bunge kwa kukosolewa na Ndugai na kuamua kumtoa uspika!
Anyway ila kwa Ndugai hata kama alilazimishwa kujiuuzulu, hata kama taratibu hazikufuatwa kikatiba, tuunge mkono tu kilichotokea kwa kuwa UFEDHULI aliofanya una madhara kuliko hizo taratibu za kumtoa.

The end justifies the means
 
sahihi sana legend
 
Ni wapi ambapo Prof.Assad amesema Katiba mpya imlazimishe Rais kufuata ushauri wa kila mtu? hiyo ni dhana yenu hasi ambayo mmeijenga dhidi yake na hasa Sukuma gang ambao mnaona Prof. ni mwiba kwa matendo ya hovyo aliyoyafanya "Mwenda zake"
 
Nadhan umeelewa kinyume,yule kubwa lenu la maadui lilijaa kiburi na majivuno na kujiona yy ni kuliko wote waliopita.
SUKUMA GANG kubalini tu kuwa zama zenu zmekwisha
 
Hakika ktk maneno kuna uchawi kubwa linalosumbua wale wa j2 kwa kuwa co mtu wao
 
Unamtaka rais ambae kazi yake kubwa ni kuwadhalilisha wataalam na watendaji wa serikali na kuuaminisha umma kuwa hao ndiyo wanaowasababishia umaskini? Unamtaka rais anayepingana na wataalam wote: ujenzi, maji, tiba, ndege, mazingira, nk? Rais anayejua kila kitu? Rais aligeuka mhandisi kwa sababu tu ya kuwa waziri wa ujenzi kwa miaka kadhaa? Unamtaka rais anayejiamulia tu mwenyewe kupima mapapai, oil ya mitambo, mbuzi, nk kutafuta virusi vya corona na kutangazia ulimwengu kuwa amethibitisha kipimo hakifai? Huyo ni rais au kituko? Rais gani anawakatalia wataalam kuwa virusi vinaweza kuuawa kwa kunyunyuzia dawa? Magufuli hakuwa rais wa kwanza wa nchi hii, alitanguliwa na marais wanne ambao waliheshimisha taasisi ya urais. Mungu hapendi kiongozi wa aina hii kuwa juu ya watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…