Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Kw kweli DsTV wakishindwa kuiondoa NICKELODIAN wafungiwe na TCRA.
Utafungia wangapi.haya mambo hupaswi kitumia nguvu kupambana nayo.Wenzako wanatumia akili kuimanipulate jamii wewe unataka tutumie nguvu tutaweza?.nguvu haziwezi kushinda akili hata siku moja.Haya mambo yako kila mahali hata kama hiyo channel itafungiwa bado wanao huwezi kwenda nao kila mahali.Ufumbuzi wa haya mambo ni kuchukua jitihada zamakusudi zakuelimisha jamii yetu vyakutosha ili wajue kujisimamia.tusipofanya hivyo tutabaki kulalamika.
 
Mimi naona hawa cebebees inaonyeshw na azzAm yan kuna katun moja go jetters itaenda enda ila lazim upinde wa mvua utokee fasta kimtindo nakuwaga nawachekiiii !!! Kama huamin chekishia
 
Sasa kwa level tulofikia kila mzazi awajibike yani hakikisha mtoto anaangalia nini na anacheza na nani na tujitahidi hata kuhudhuria mashuleni kujua maendeleo yao na tabia zao wawapo shuleni kupitia walimu.
 
Utafungia wangapi.haya mambo hupaswi kitumia nguvu kupambana nayo.Wenzako wanatumia akili kuimanipulate jamii wewe unataka tutumie nguvu tutaweza?.nguvu haziwezi kushinda akili hata siku moja.Haya mambo yako kila mahali hata kama hiyo channel itafungiwa bado wanao huwezi kwenda nao kila mahali.Ufumbuzi wa haya mambo ni kuchukua jitihada zamakusudi zakuelimisha jamii yetu vyakutosha ili wajue kujisimamia.tusipofanya hivyo tutabaki kulalamika.
Na wewe mchango wako wa akili kuelimisha jamii juu ya huu uchafu uko wapi?
 
Saivi wanapigia debe sana suala la mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, nashindwa kuelewa ni hao mashoga au kuna watu wananufaika na hilo.
Movie za kizungu nazo ndo hazifai kuangalia tena
 
TCRA Please take note.

Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi.
TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua.

Ujumbe:

Dear Parents/Guardians.

This is to bring to your notice that the cartoon channel Nickelodeon with effect from yesterday Saturday 20th August, 2022 has started showing gay couple on one of their series called The Loud House.
Please let's always check on what our children are watching.

God bless us all.

I received this and checked online, it's true! Nickelodeon the Children's channel is currently running a cartoon series to promote homosexuality among children. The title of the cartoon is "Loud House".

In 2014 they produced a cartoon titled "The Legend of Korra" to promote bisexuality. The series is the first Nickelodeon show in history to feature a married same-sex couple. The decision to feature a married same-sex couple on a children’s program is reported to have met with an overwhelming positive reaction. Who knows what will be produced next!

Beware of what you have in your house that could be leading your children astray. Know the kind of cartoons your children watch. Please block this channel or prevent your children from watching this!

Share this please!

This is holiday period and we need to be vigilant!

Tanzania hatutaki huu ujinga.
Nasikia nchi ya jirani, Kenya vimepigwa marufuku.
James Delicious, Aggrey ,juma Lokole, Dr Kumbuka, Baba levo na wao walikua wanaangalia hiyo channel?
 
Sasa kwa level tulofikia kila mzazi awajibike yani hakikisha mtoto anaangalia nini na anacheza na nani na tujitahidi hata kuhudhuria mashuleni kujua maendeleo yao na tabia zao wawapo shuleni kupitia walimu.
Kama una amini katika Mungu, mjenger mtoto foundation ya makuzi ya kiungu, hakikisha mbengu ya kiungu ( Mungu ) ndio inakua ndani ya wanao, ndio dawa ya haya matatizo, ila kama mbengu ya muovu ikitangulia na kumea ni tatizo hapo mtoto anaweza kuwa vyovyote
 
Mtoa mada ni muongo...

DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu
 
Nje ya mada, kwenye sinema zetu kuna kitu kinaitwa mama kimbo, hivi huyo kijana ambaye wakati wote yuko na mama kimbo na mambo ya kike, au joti anavyoigiza kuwa mwanamke haiwezi kuwashawishi watoto kuiga tabia za kike ambazo zinaweza kuzalisha ushoga?
TV is more powerful than anything to kids

Acha kudanganya watu...

TV na Youtube is a problem to kids...mpaka afikishe 18 years ndio aamue yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom