Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Hivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga,wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa?
Lengo lao ni kuharibu kizazi Cha wanaume kwa siku zijazo kwa sababu kwa upande mmoja wanahamasisha sana women empowerment girl child emancipation huku mtoto wa kiume na wanaume kwa ujumla wakiachwa nyuma then wanaohamasisha ushoga hapo Sasa wakifanikiwa wanaume Kama msingi wa familia Kwisha habari yao .This is the world 's current agenda soma the New World Order and the weakening of the family unit
 
Wao kuwa mashoga wameona haitoshi...wanawahamasisha na watu wengine nao wawe mashoga....shida ndio inaanzia hapo.......
Mkiambiwa mnaharibu brand za watu mjiandae! Majibu ya namna hii yaliwahi kutolewa wakati fulani.
===
Sheria zetu zipo wazi mambo haya machafu hayaruhusiwi.
 
Hii nchi lini itaendelea, muwafundishe tu kipi sahihi kipi sio sahihi ila kuifungia channel sio suluhu.

Mfano hata asipoona hiyo channel, sahivi Kila series hata zilizopo Azam lazima kuna scene ya ushoga. Hata mpira wa miguu tu timu zinavaa bendera ya gay pride. Bado akipanda daladala anasikia nyimbo za bongofleva zikiongelea kuchuma mchicha sijui kusafisha mtaro n.k so haya yote atayasikia tu with or without nickelodeon.

Cha msingi mfundishe tu ulimwengu aliopo na kipi asifanye, ila tukienda kwa staili unayotaka utafuta YouTube, DStv, utazuia EPL isionyeshwe Tz and so on.
Ni muhimu kufungia mtangazo/uhamasishJI wa ushoga kwa watu wote , hasa watoto.
 
Hii nchi lini itaendelea, muwafundishe tu kipi sahihi kipi sio sahihi ila kuifungia channel sio suluhu.

Mfano hata asipoona hiyo channel, sahivi Kila series hata zilizopo Azam lazima kuna scene ya ushoga. Hata mpira wa miguu tu timu zinavaa bendera ya gay pride. Bado akipanda daladala anasikia nyimbo za bongofleva zikiongelea kuchuma mchicha sijui kusafisha mtaro n.k so haya yote atayasikia tu with or without nickelodeon.

Cha msingi mfundishe tu ulimwengu aliopo na kipi asifanye, ila tukienda kwa staili unayotaka utafuta YouTube, DStv, utazuia EPL isionyeshwe Tz and so on.
uko sahihi kabisa watoto wetu hawa tusiwaache bila kuwakanya kuwafundisha nn kibaya na kipi kizuri tumeshaingia kwenye utandawazi ni jukumubla mzazi kuwa muangalizi wa mwanao
 
Ni kazi sana ndugu yangu, nenda google pale andika PAMOKO uone balaa
Mkuu hii ni thread ya pili nakuta unaandika hii. Nadhani hatupaswi kuipromote kama unavyofanya kama kuna uwezekano futa. Unavyozidi kuiandika ndio kama unawapa promo. Mimi hata sikua najua na imani na wemgine pia so kadri tunavyowaongelea ndio na wao wanapata nguvu zaidi.

Tutoe elimu ila tusiowaonyeshe haya mambo. Watoto wana smartphone siku izi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kw kweli DsTV wakishindwa kuiondoa NICKELODIAN wafungiwe na TCRA.
 
Nje ya mada, kwenye sinema zetu kuna kitu kinaitwa mama kimbo, hivi huyo kijana ambaye wakati wote yuko na mama kimbo na mambo ya kike, au joti anavyoigiza kuwa mwanamke haiwezi kuwashawishi watoto kuiga tabia za kike ambazo zinaweza kuzalisha ushoga?
Si umemuona yule dogo wa Instagram anaitwa Dulla nani sijui anajiremba kabisa anakuwa demu.
 
Lengo lao ni kuharibu kizazi Cha wanaume kwa siku zijazo kwa sababu kwa upande mmoja wanahamasisha sana women empowerment girl child emancipation huku mtoto wa kiume na wanaume kwa ujumla wakiachwa nyuma then wanaohamasisha ushoga hapo Sasa wakifanikiwa wanaume Kama msingi wa familia Kwisha habari yao .This is the world 's current agenda soma the New World Order and the weakening of the family unit
Safi sana. Wewe sasa umeelewa. Ningekuwa Raisi wa Tanzania kesho asubuhi bila kujadiliana na mtu yoyote ningeshakuwa nimekuita ikulu kwaajiri ya kukuapisha kuwa waziri wa ustawi wa jamii, jinsia, na watoto.
 
acha uboya wewe, nickolodian sio ya Dstv peke yake, ile ipo katika ving'amuzi vyote

na kwa kukusahihisha ni kua sio nickolodian ni Toonami ndo inarusha hizo na sio lazima kuangalia, kama unataka nikuelekeze jinsi ya kuifungia hiyo channel isioneshe kwako njoo inbox [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom